Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profileg
Radio Jambo

@RadioJamboKenya

Ongea usikike! ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช 97.5 NRB | 92.3 MSA | 100.1 KSM | 96.9 NKR | 99.5 ELD | 99.3 NYERI | 92.7 MERU | 95.3 WEBUYE | 89.3 KISII | 104.9 KITUI | 105.7 VOI | ๐Ÿ“ป

ID:2515401066

linkhttps://radiojambo.co.ke calendar_today22-05-2014 13:13:01

438,8K Tweets

245,9K Followers

311 Following

Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Mbappe alionekana kushangazwa na ubora na alipokuwa akichunguza uumbaji huo, alisema: 'Ni mimi, asilimia 100!' Mbappe pia alitania 'ni Kylian zaidi yangu!'

radiojambo.co.ke/michezo/footbaโ€ฆ

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya wachezaji tajika katika EPL wataaga vilabu vyao mwezi ujao kufuatia kuisha kwa mikataba.

radiojambo.co.ke/habari/grafikiโ€ฆ

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Raphael Varane, Thiago Alcantara na Thiago Silva ni miongoni mwa wachezaji ambao tayari wamewaaga mashabiki wa vilabu vyao.

Raphael Varane, Thiago Alcantara na Thiago Silva ni miongoni mwa wachezaji ambao tayari wamewaaga mashabiki wa vilabu vyao. #KituoChaWakenya
account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa zamani wa Director Trevor alifichua haya wakati alikuwa akiwajibu baadhi ya mashabiki wake kwenye chapisho lake la hivi majuzi.

radiojambo.co.ke/burudani/mastaโ€ฆ

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa msemaji wa Ikulu Kanze Dena amefunguka kuhusu ujauzito wake wa kwanza na jinsi ulivyoathiri maisha yake.

radiojambo.co.ke/burudani/mastaโ€ฆ

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Ilihusisha watoto yatima ambao walikuwa wamepoteza wanafamilia wakati wa mashambulizi ya magenge yenye silaha.

radiojambo.co.ke/habari/kimataiโ€ฆ

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Msanii huyo katika kisa cha kuogofya, alikuwa anatumbuiza kwenye kipindi cha moja kwa moja cha 10/10 kwenye runinga ya Citizen alipodondoka sakafuni ghafla na kuzimia.

radiojambo.co.ke/burudani/mastaโ€ฆ

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Mbunge huyo alisisitiza kwamba ushuru huo haujaanza kufanya kazi bali ni pendekezo tu na ni jukumu la Wakenya kujitokeza kutoa maoni yao.

radiojambo.co.ke/habari/taarifaโ€ฆ

account_circle
Dave Best(@DaveBest07) 's Twitter Profile Photo

Yes y'all be wondering what happened to Stella, well, she's still alive and now working on Radio Jambo by the name Masawe Japan. Kindly Massawe Japanni explain to us your side of the story ๐Ÿ™.

Yes y'all be wondering what happened to Stella, well, she's still alive and now working on @RadioJamboKenya by the name Masawe Japan. Kindly @MassaweJapanni explain to us your side of the story ๐Ÿ™.
account_circle