BabaIvan (@bdozen_) 's Twitter Profile
BabaIvan

@bdozen_

| Risktaker | Real talk | Founder @BabaIvanSuits |

ID: 2700044614

linkhttps://youtu.be/N_3C8Ve0vJQ?si=KPkdFjPZNOptRkpg calendar_today11-07-2014 19:01:45

2,2K Tweet

940 Takipçi

178 Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Watekaji WAMEFUNGIA kanisa la GWAJIMA. Kanisa lililosajiliwa mwaka 1994 leo linafungiwa kwa kosa la kuongelea UTEKAJI kwamba askofu anaichonganisha SERIKALI na wananchi. Kanisa lenye matawi karibia 2000+ nchi nzima linafungiwa kwakosa la askofu kukataa kuwa sehemu ya kukalia

Watekaji WAMEFUNGIA kanisa la GWAJIMA.

Kanisa lililosajiliwa mwaka 1994 leo linafungiwa kwa kosa la kuongelea UTEKAJI kwamba askofu anaichonganisha SERIKALI na wananchi.

Kanisa lenye matawi karibia 2000+ nchi nzima linafungiwa kwakosa la askofu kukataa kuwa sehemu ya kukalia
BabaIvan (@bdozen_) 's Twitter Profile Photo

Kazi anayopiga Kibatala ni ya kutukuka, Tungepata namba yake tumuunge buku buku! Ya Mungu mengi wengine tunaweza tusifike mwisho wa VITA, tumpe maua yake bado mapema.

BabaIvan (@bdozen_) 's Twitter Profile Photo

Hakuna stress wanapitia wanaume, Kama wale wanaume wanao date wanawake walevi washinda clubs, Wanetu wanatesekaga sana 😂

BabaIvan (@bdozen_) 's Twitter Profile Photo

Mama wa Kambo si mama, Mpaka sasa sijalala si kwa kupenda kwangu ila mateso anayonipa! Baba endelea kupumzika kwa Amani, Siku zangu zikifika nitakufuata.🙏

Nei🥂 (@neemawillyy) 's Twitter Profile Photo

Ubuyu Upo kwa kutosha wateja wangu Ubuyu mtamu wa Kishua wenye ladha nzuri ya Kishua Hauchubui Mdomo Ukimung'unya Ladha ni Vanilla, Chocolate na Pilipili Bei ni 4000 tu Delivery Kwa Dar na Mikoani tunatuma Nipigie 0752228138

Ubuyu Upo kwa kutosha wateja wangu  

Ubuyu mtamu wa Kishua wenye ladha nzuri ya Kishua 

Hauchubui Mdomo Ukimung'unya 

Ladha ni Vanilla, Chocolate na Pilipili

Bei ni 4000 tu 

Delivery Kwa Dar na Mikoani tunatuma 

Nipigie 0752228138
BabaIvan (@bdozen_) 's Twitter Profile Photo

Narudi zangu maskani jioni hii, Nakuta madogo wanasakata kabumbu! Nilivyo check pitch nimecheka sana, Hii timu ya huku juu hata ikiweka mpira chini bila kuupiga unaserereka mpaka goal 😂

BabaIvan (@bdozen_) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ukivaa soksi unaonekana smart zaidi na mtanashati tofauti na ukivaa bila soksi. Zile pigo za kuvaa suruali njiwa (Dont touch my shoes) bila soksi achia first year! Cc BABAIVAN_SUITS

Mwanaume ukivaa soksi unaonekana smart zaidi na mtanashati tofauti na ukivaa bila soksi.

Zile pigo za kuvaa suruali njiwa (Dont touch my shoes) bila soksi achia first year!

Cc <a href="/BabaIvanSuits/">BABAIVAN_SUITS</a>