Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profileg
Moyo wa TAIFA ™️

@bajabiri

💥BA,MA-IDS,UDSM|
💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀

ID:861700170

calendar_today04-10-2012 16:55:59

679,5K Tweets

408,9K Followers

41,2K Following

Mjege Kinyota, PhD🇹🇿(@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Maadili ni suala pana. Ukiacha matusi (mengine kwenye mitihani ya Taifa), kuna mmomonyoko wa maadili unachangizwa na kusambaa kwa teknolojia ya habari na malezi kuhamishiwa kwa mzazi badala ya jamii Nzima. Aidha, kuna wazazi nao wanachangia kwa kutokuwa waadilifu. Tuzame zaidi.

account_circle
Mjege Kinyota, PhD🇹🇿(@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Forthcoming book. The sustainability of higher education in Sub-Saharan Africa. Our contribution to Peter Neema-Abooki’s. Offering a critical analysis of the conception of quality in higher education 🔗

Forthcoming book. The sustainability of higher education in Sub-Saharan Africa. Our contribution to Peter Neema-Abooki’s. Offering a critical analysis of the conception of quality in higher education 🔗
account_circle
Salma(@salmakorosho) 's Twitter Profile Photo

Msisahau kupita kwenye page za ma mc huko insta usikute hidaya kashampeperusha babe wako kwa babe wake🤣🤣🤣

account_circle
Mjege Kinyota, PhD🇹🇿(@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Moyo wa TAIFA ™️ FESTO RICHARD SANGA Mheshimiwa Festo Sanga ni mwanafunzi wangu na mwanachuo mwenzagu at the same time. Alikuwa active sana tangu tukiwa Chuo. Ni kijana mzuri tatizo lake yuko Simba. Ni Makolo. Hili linaniuma sana kwa maana amechagua upande mbaya wa historia 😂

account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

KISUKARI, SHINIKIZO LA JUU LA DAMU MAGONJWA TISHIO KWA WATANZANIA

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP amebainisha kuwa, ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu (High Blood Pressure) ni kati ya magonjwa Kumi yanayowasumbua Watanzania ambapo amewataka wananchi kuzingatia…

KISUKARI, SHINIKIZO LA JUU LA DAMU MAGONJWA TISHIO KWA WATANZANIA Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amebainisha kuwa, ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu (High Blood Pressure) ni kati ya magonjwa Kumi yanayowasumbua Watanzania ambapo amewataka wananchi kuzingatia…
account_circle
Joyce R Mbura(@Joy_Mbura) 's Twitter Profile Photo

Ukishaa kuwa mama huku barabarani/madukani ukiona kitu kizuri unawaza watoto wako kwanza 😀na baba yao. Wewe hujiwazii sana .

account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Hakika wana Dar es Salaam wameitika! Hongera sana Mhe RC Albert Chalamila na Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa DSM kwa kuandaa vyema tukio la leo la . Aidha nawashukuru Wote waliojitokeza wakiwemo jogginh clubs mbalimbali za mkoa wa DSM na maveterani…

Hakika wana Dar es Salaam wameitika! Hongera sana Mhe RC Albert Chalamila na Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa DSM kwa kuandaa vyema tukio la leo la #MazoeziYaPamojaKwaAfya. Aidha nawashukuru Wote waliojitokeza wakiwemo jogginh clubs mbalimbali za mkoa wa DSM na maveterani…
account_circle
Mjege Kinyota, PhD🇹🇿(@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Moyo wa TAIFA ™️ Kuna dawati pale pembeni; wateja wakipungua unasahihisha kazi za walimu huku ukikitafakari KIKOKOTOO. Teaching is a profession

account_circle