Moyo wa TAIFA ™️
@bajabiri
💥BA,MA-IDS,UDSM|
💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀
ID:861700170
04-10-2012 16:55:59
679,5K Tweets
408,9K Followers
41,2K Following
#Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama akishiriki, Mkesha wa Miaka 10 ya kuzaliwa kwa Chama katika Ofisi ya Makao Makuu ya ACTWazalendo, Vuga - Zanzibar.
#10MaslahiYaWote
#10MamlakaKamili
Moyo wa TAIFA ™️ FESTO RICHARD SANGA Mheshimiwa Festo Sanga ni mwanafunzi wangu na mwanachuo mwenzagu at the same time. Alikuwa active sana tangu tukiwa Chuo. Ni kijana mzuri tatizo lake yuko Simba. Ni Makolo. Hili linaniuma sana kwa maana amechagua upande mbaya wa historia 😂
KISUKARI, SHINIKIZO LA JUU LA DAMU MAGONJWA TISHIO KWA WATANZANIA
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, MP amebainisha kuwa, ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu (High Blood Pressure) ni kati ya magonjwa Kumi yanayowasumbua Watanzania ambapo amewataka wananchi kuzingatia…
Hakika wana Dar es Salaam wameitika! Hongera sana Mhe RC Albert Chalamila na Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa DSM kwa kuandaa vyema tukio la leo la #MazoeziYaPamojaKwaAfya . Aidha nawashukuru Wote waliojitokeza wakiwemo jogginh clubs mbalimbali za mkoa wa DSM na maveterani…
Moyo wa TAIFA ™️ Kuna dawati pale pembeni; wateja wakipungua unasahihisha kazi za walimu huku ukikitafakari KIKOKOTOO. Teaching is a profession