Azam FC
@azamfc
β½ The Official Account of Azam Football Club
π 2013-14 Tanzania Premier League Champions.
π
Founded in July 23, 2004.
π± #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora
ID:159797294
https://www.azamfc.co.tz 26-06-2010 10:45:44
11,8K Tweets
296,7K Followers
18 Following
Follow People
#EntranceFee Utaweza kuishuhudia mechi yetu ya mwisho nyumbani msimu huu kwenye Uwanja wa Azam Complex dhidi ya Kagera Sugar, kwa kiingilio cha Sh. 3,000 tu kwa majukwaa ya mzunguko, Sh. 5,000 kwa V.I.P B, huku V.I.P A wakilipia Sh. 10,000.
#weareazamfc #timuborabidhaabora
FOCUSED! π―
Vijana wetu wakiendelea na mazoezi kwenye viunga vya Azam Complex, kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar.
#weareazamfc #timuborabidhaabora
#OurLastHomeMatch Kwa mara ya mwisho msimu huu tutautumia uwanja wetu wa nyumbani Azam Complex, tukicheza dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika keshokutwa Jumamosi saa 10.00 jioni.
#weareazamfc #timuborabidhaabora
#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu kamili kitakachoivaa JKT Tanzania, kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, utakaoanza saa 10.00 jioni.
#weareazamfc #timuborabidhaabora
#ARRIVAL Tumeshawasili kwenye Uwanja wa Meja Isamuhyo, tayari kabisa kuivaa JKT Tanzania.
#weareazamfc #timuborabidhaabora