Azam FC(@azamfc) 's Twitter Profileg
Azam FC

@azamfc

โšฝ The Official Account of Azam Football Club
๐Ÿ† 2013-14 Tanzania Premier League Champions.
๐Ÿ“… Founded in July 23, 2004.
๐Ÿ“ฑ #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora

ID:159797294

linkhttps://www.azamfc.co.tz calendar_today26-06-2010 10:45:44

11,6K Tweets

292,1K Followers

18 Following

Follow People
Azam FC(@azamfc) 's Twitter Profile Photo

Mazoezi yetu ya kwanza visiwani Zanzibar, tukijiandaa na mechi yetu ya nusu fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya KMKM, itakayofanyika Uwanja wa New Amaan Complex keshokutwa Alhamisi saa 2.15 usiku.

#FirstTrainingInZanzibar Mazoezi yetu ya kwanza visiwani Zanzibar, tukijiandaa na mechi yetu ya nusu fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya KMKM, itakayofanyika Uwanja wa New Amaan Complex keshokutwa Alhamisi saa 2.15 usiku. #weareazamfc #timuborabidhaabora
account_circle
Azam FC(@azamfc) 's Twitter Profile Photo

Next Stop; Muungano Cup 2024! ๐Ÿ†

Sasa tunaelekea kwenye michuano ya Kombe la Muungano, tukianzia hatua ya nusu fainali kwa kuivaa KMKM ya Zanzibar, Aprili 25, mwaka huu saa 2.15 usiku.

Next Stop; Muungano Cup 2024! ๐Ÿ† Sasa tunaelekea kwenye michuano ya Kombe la Muungano, tukianzia hatua ya nusu fainali kwa kuivaa KMKM ya Zanzibar, Aprili 25, mwaka huu saa 2.15 usiku. #weareazamfc #timuborabidhaabora
account_circle
Azam FC(@azamfc) 's Twitter Profile Photo

Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, leo Jumapili saa 1.00 usiku.

#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, leo Jumapili saa 1.00 usiku. #weareazamfc #timuborabidhaabora
account_circle
Azam FC(@azamfc) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ M A T C H D A Y ๐Ÿšจ
๐Ÿ†š Ihefu SC
๐Ÿ† NBC Premier League
ยฎ๏ธ Round 23
๐ŸŸ Azam Complex
๐Ÿ•ฐ 7.00 PM (E.A.T)

๐Ÿšจ M A T C H D A Y ๐Ÿšจ ๐Ÿ†š Ihefu SC ๐Ÿ† NBC Premier League ยฎ๏ธ Round 23 ๐ŸŸ Azam Complex ๐Ÿ•ฐ 7.00 PM (E.A.T) #weareazamfc #timuborabidhaabora
account_circle
Azam FC(@azamfc) 's Twitter Profile Photo

Kikosi chetu kinatarajia kucheza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, keshokutwa Jumapili saa 1.00 usiku.

#UpNext Kikosi chetu kinatarajia kucheza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, keshokutwa Jumapili saa 1.00 usiku. #weareazamfc #timuborabidhaabora
account_circle