Sidhani kama uwezo niliouonesha mechi dhidi ya club African Kuna mchezaji mwingine anaweza kuufikia @yangasc1935 mimi ni bora mda wote na tabaki kuwa bora siwaoni kama mnaenda kupata matokeo mechi ya kesho na hamna namna lazima kupoteza sababu ya dhuruma zenu.