_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile
_Pam_gram

@amandus_pascal

SILENCE & SERENITY ●●●!
More money πŸ’°
Philosophy in blood β™‘ (mwanaharakati)β˜†
Mlupalemluku πŸ™

ID: 1806758657390006272

calendar_today28-06-2024 18:37:19

19 Tweet

25 Followers

424 Following

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Kuna baadhi ya watu waliokuzunguka ni kama mawingu; wakiondoka tu, maisha yako yanang'aa; Na kuna baadhi ya watu waliokuzunguka ni kama jua; ukiwapoteza tu maisha yako yanaingia gizani...!! Muombe Mungu akupe uwezo wa kuchagua. #Mlupalemluku

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

"Kuvaa vizuri, kunukia kitajiri, kwenda maeneo ya kishua, na kula vyakula vya kibabe! sio ku-fake life au tuseme kuigiza maisha Hata kama bado unajitafuta kimaisha, hakuna ufahari wowote katika kuonesha shida na mateso" SIR JEFFβš‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ✍️

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Kwa ajili ya Amani ya moyo wako, heshimu maamuzi ya watu, Elewa mipaka yako kwenye maisha ya watu. Usijipe nafasi ambayo huna na usilazimishe uwekwe sehemu ambayo sio yako. Kwaajili ya Amani ya moyo wako, Don't take everything seriously..!! Take it easy and enjoy lifetime πŸ˜‰!

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Kuwa na Boyfriend /Girlfriend Mmoja sio tu Nidhamu, pia ni usafi wa kiroho kwa hatima yako Mwenyewe, Ni kama kulinda moyo wako usichafuliwe na vurugu zisizo hitajika, Moyo wenye vurugu Kamwe hauwezi kuhimili Msingi wa maono makubwa. #mlupalemluku #RealPam #slickman.

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Kama huwezi kurusha Ngumi Usiende kibanda umiza leo πŸ˜„! Watu hawachelewi thalaatha bin sufuri,,,!! Waaarabu wa mchongo.

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Leo nimepata wasaa wa kusoma kitabu cha UFUNUO katika Biblia, na nimekimaliza ,Hapa nimepakua msosi wote nakula πŸ˜„! Muda wowote kinawaka Aisee. #metanoia #Realpam.

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha Ukikaa Kwenye Meza Na Marafiki Zako Muwe Mnaongelea Mambo Ya Mungu, Kukua, Biashara,Malengo Na Hela ila Sio Kuongelea WATU. Siku njema hustlers. #mlupalemluku #metanoia

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Degree za kusoma! Ushauri kwa wanangu wa form six. 1. LAW 2. Mass Communication 3. Doctor of Medicine 4. Computer Engineering! Hardware or software..! Ongezea Degree Moja tuone πŸ˜‚

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Wanangu nimechoka ku pretend! Hivi nyie mnafanyaje hadi mnawapata hawa Church girls πŸ‘§ ? Mbona mimi kila nikienda naambiwa ; "Muogope bwana Mungu wako" πŸ˜„

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Maisha Hayana Extra Time wala Kipindi cha Pili, Hakikisha, Una Sali Sana, Kunywa Maji ya Kutosha, Vaa Vizuri na Unukie. Mungu Abariki Kazi za Mikono Yetu na Leo! Siku njema watu wa Mungu. #Mlupalemluku πŸ™

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Maisha hayajui kama ulisomaga International schools πŸ˜„ Ni mwendo wa kukunyoosha tu..! Siku njema Hustlers; #mlupalemluku.

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

He'll listen; Kama Bado hadi leo unaweka status za vijembe! Basi una safari ndefu sana ya kujikomboa kutoka kwenye Umaskini wa fikra. #mlupalemluku #metanoia

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Dear friends; Kama Bado hadi leo unaweka status za vijembe! Basi una safari ndefu sana ya kujikomboa kutoka kwenye Umaskini wa fikra. #mlupalemluku.

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Dear Friend; Kuna wakati Ukifika mwanaume makini anajali zaidi utulivu, uhusiano wake na Mungu, juhudi za kujitafutia, na kuboresha maisha yake. #mlupalemluku #metanoia.

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Mhubiri 12:12 Tena, zaidi ya hayo, mwanangu, kubali maonyo; hakuna mwisho wo wote wa kutunga vitabu vingi; na kusoma sana huuchosha mwili. #mlupalemluku #metanoia #biblical

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Kwenu vijana wenzangu! Usijisikie vibaya kama bado hujampata mpenzi wa ndoto zako , Kwa maana hata walio oa na kuolewa Bado wanatafuta. #mlupalemluku #moneyfronts .

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Dear friend 🧑; π’π€π‹π€π‘π˜ ππ€π˜π’ ππˆπ‹π‹π’, ππ”π’πˆππ„π’π’ πƒπ‘πˆπ•π„π’ π‹πˆπ…π„π’π“π˜π‹π„. #mlupalemluku #metanoia

_Pam_gram (@amandus_pascal) 's Twitter Profile Photo

Suala la watoto kusimamisha mpira nipite kipindi wanacheza huku wakisema Subiri baba wa watu apite hili linanivunja nguvu kabisa. 😩😩 Nimezeeka Lini mimi?