Aliko(@alikomaster) 's Twitter Profileg
Aliko

@alikomaster

Arsenal βœŠπŸ˜‡
https://t.co/svtDY2okUu

ID:1526887336658849793

calendar_today18-05-2022 11:28:20

344,4K Tweets

110,2K Followers

6,4K Following

Aliko(@alikomaster) 's Twitter Profile Photo

Imagine umetoka kanisani hutaki majaribu mara unakutana na kikwazo njiani πŸ˜„πŸ˜πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™Œ

Imagine umetoka kanisani hutaki majaribu mara unakutana na kikwazo njiani πŸ˜„πŸ˜πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™Œ
account_circle
Aliko(@alikomaster) 's Twitter Profile Photo

Rasmi suala la kuoa naanza kuliona sio kipaumbele kwangu, ikiwa nilipokua mdogo niliahidi nikifika 18 naoa sasa naenda 27 mambo bado ni magum mno naweza kudelete kabisa suala la ndoa maishan mwangu πŸ™ŒπŸ™Œ

account_circle
Aliko(@alikomaster) 's Twitter Profile Photo

Nilikua namfokea kawaida nashangaa anasema kama nimemchoka tuachane
Imebidi niwe mpole sasa nisije nikaachwa

account_circle
Aliko(@alikomaster) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kutoka shambani sasa nisonge kaugali huku mhindi wa kuchoma unaiva
Halaf baadae nitakula makande ya mahindi yaleo leo

Ileje hauwezi kuifananisha na dar nawambia kila siku πŸ˜…πŸ˜…..

Baada ya kutoka shambani sasa nisonge kaugali huku mhindi wa kuchoma unaiva Halaf baadae nitakula makande ya mahindi yaleo leo Ileje hauwezi kuifananisha na dar nawambia kila siku πŸ˜…πŸ˜…..
account_circle
Aliko(@alikomaster) 's Twitter Profile Photo

humu unasifiwa vizurii wanakuacha ujione last born wa hii app then ukilewa sifa wanaruka nawewe unaweza kudelete hii app walai πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Aliko(@alikomaster) 's Twitter Profile Photo

hata kama una wapenzi wengi jitahidi awepo mmoja ambae ni uhakika muda wote ukimhitaji anakuja bila kukuomba nauli πŸ‘Š

hata kama una wapenzi wengi jitahidi awepo mmoja ambae ni uhakika muda wote ukimhitaji anakuja bila kukuomba nauli πŸ‘Š
account_circle