@alikomaster
muda hautakungoja π
ID:4499300021
calendar_today16-12-2015 04:40:40
2,5K Tweets
2,3K Followers
339 Following
1 month ago
Hustle zetu zikajipe
Baby wako ukiwa nae unaweza kumtuma au anakiburi kama wakwangu ππ
Usipitie sheli, nitajirusha πππ
2 months ago
Kama unatumia nguvu kubwa kuelezea uzuri wa kitu basi hicho sio kitu kizuri
Hakuna raha kama kuhesabu pesa nyingi halafu zakwako mwenyewe.
3 months ago
Usijisahau sana kwakua unamiliki mali nyingi na magari, mkumbuke muumba wako π
Hii haitapata likes nyingi kwasababu haina matusii π
1 year ago
Kwa hii list yangu ya nyimbo unazan mimi ni jobless wa mwaka gan?
Unazan kilimkuta nini mpaka akafirisika?π€ πππ
6 months ago
Imagine nyani tu hapendi usenge lakini kuna wana analeta pigo za kiduanzi tazama video ππ
Imagine umetoka kanisani hutaki majaribu mara unakutana na kikwazo njiani πππ ππ
imagine umekaweka ndani ππ
Rasmi suala la kuoa naanza kuliona sio kipaumbele kwangu, ikiwa nilipokua mdogo niliahidi nikifika 18 naoa sasa naenda 27 mambo bado ni magum mno naweza kudelete kabisa suala la ndoa maishan mwangu ππ
Nilikua namfokea kawaida nashangaa anasema kama nimemchoka tuachane Imebidi niwe mpole sasa nisije nikaachwa
Baada ya kutoka shambani sasa nisonge kaugali huku mhindi wa kuchoma unaiva Halaf baadae nitakula makande ya mahindi yaleo leo Ileje hauwezi kuifananisha na dar nawambia kila siku π π ..
9 months ago
unaweza kukaa siku ngapi bila kutumia twitter?
'Ati kama unampenda usimuoneshe kama upendo wako'Nani kakudanganya unaweza kujificha kwa mtu unaempenda?
8 months ago
humu unasifiwa vizurii wanakuacha ujione last born wa hii app then ukilewa sifa wanaruka nawewe unaweza kudelete hii app walai ππ
10 months ago
hata kama una wapenzi wengi jitahidi awepo mmoja ambae ni uhakika muda wote ukimhitaji anakuja bila kukuomba nauli π
Broo una uhakika ulitumia kondomu?