Absalom Kibanda(@absakibanda) 's Twitter Profileg
Absalom Kibanda

@absakibanda

Author, Communication Strategist, Editor, Analyst, Media Personality, Political & Leadership Consultant, Columnist & Former Chair Tanzania Editors' Forum.

ID:628145002

calendar_today06-07-2012 07:21:27

2,5K Tweets

62,2K Followers

4,5K Following

Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Familia ya Jenerali Ulimwengu ilipata wasaa wa kukutana na familia ya Kagame.

Josephine, mke wa Jenerali ulimwengu alikuwa ni mtumishi wa UN Rwanda tangu mwezi April 2020.

Muda wake wa kazi umeisha na anarudi kufanya kazi UN economical Commission for Africa yenye makao yake…

Familia ya Jenerali Ulimwengu ilipata wasaa wa kukutana na familia ya Kagame. Josephine, mke wa Jenerali ulimwengu alikuwa ni mtumishi wa UN Rwanda tangu mwezi April 2020. Muda wake wa kazi umeisha na anarudi kufanya kazi UN economical Commission for Africa yenye makao yake…
account_circle
Media Brains(@TheMediaBrains) 's Twitter Profile Photo

Wanasayansi wanasema wamefanikiwa kuondoa Virusi vya Ukimwi kutoka kwenye chembechembe zilizoambukizwa, kwa kutumia teknolojia ya “uhariri wa jeni ya Crispr” iliyoshinda Tuzo ya Nobel.
instagram.com/p/C4vSmXuIqww/…

Wanasayansi wanasema wamefanikiwa kuondoa Virusi vya Ukimwi kutoka kwenye chembechembe zilizoambukizwa, kwa kutumia teknolojia ya “uhariri wa jeni ya Crispr” iliyoshinda Tuzo ya Nobel. instagram.com/p/C4vSmXuIqww/…
account_circle
Absalom Kibanda(@absakibanda) 's Twitter Profile Photo

“Nchi hii si milki ya mtu mmoja… Nchi hii yetu sote”. Ahsante Rais Mstaafu Zanzibar, Amani Abeid Karume kwa karipio hilo. Hizi ndizo hekima za kiongozi aliyestaafu mwenye dhamana ya ushauri stahiki. Naamini Rais Dr Hussein Ali Mwinyi na makamu wake Othman Masoud Othman wamekusikia

account_circle
NewTimesTanzania(@NewTimesTZ) 's Twitter Profile Photo

MATUKIO KATIKA PICHA

Baadhi ya Waandishi wa Habari Waandamizi pamoja na Wahariri wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024. Absalom Kibanda issamichuzi

MATUKIO KATIKA PICHA Baadhi ya Waandishi wa Habari Waandamizi pamoja na Wahariri wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024. @absakibanda @issamichuzi…
account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Nilibahatika kuwatembeza ndg Absalom Kibanda na ndg Bakari S. Machumu katika Ofisi zetu za Makao Makuu ya Chama chetu ACTWazalendo Jengo la Maalim Seif Sharif Hamad. Hapa ni Chumba cha Vikao vya Kamati Kuu ya Chama. Chumba hiki kinaitwa Juma Duni Haji Committee Room

Nilibahatika kuwatembeza ndg @absakibanda na ndg @bmachumu katika Ofisi zetu za Makao Makuu ya Chama chetu @ACTwazalendo Jengo la Maalim Seif Sharif Hamad. Hapa ni Chumba cha Vikao vya Kamati Kuu ya Chama. Chumba hiki kinaitwa Juma Duni Haji Committee Room
account_circle
Absalom Kibanda(@absakibanda) 's Twitter Profile Photo

Sijui ni gazeti gani mimi nimenunua...na kwamba nimeunda baraza la mawaziri siku zote, maneno hayo yamekuwepo muda mrefu na baraza lenyewe lina mawaziri wawili tu, Lowassa (Edward) na Rostam Aziz. Huo ni uongo unaofanana na kwell. Ni maneno ya kipindi cha uchaguzi. Maneno hayo…

Sijui ni gazeti gani mimi nimenunua...na kwamba nimeunda baraza la mawaziri siku zote, maneno hayo yamekuwepo muda mrefu na baraza lenyewe lina mawaziri wawili tu, Lowassa (Edward) na Rostam Aziz. Huo ni uongo unaofanana na kwell. Ni maneno ya kipindi cha uchaguzi. Maneno hayo…
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mzee Kikwete: Nimeona picha uko na bwana Edward

Ridhiwani: Eeh, nilikutana naye uwanja wa taifa. Tulikuwa tunaangalia mpira

Mzee Kikwete: Naye alikuja kuangalia mpira?

Ridhiwani: Ndiyo

Mzee Kikwete: Ok. Hayo ndiyo mambo mnatakiwa mfanye. Msifike sehemu mkaona siasa ni vita.…

Mzee Kikwete: Nimeona picha uko na bwana Edward Ridhiwani: Eeh, nilikutana naye uwanja wa taifa. Tulikuwa tunaangalia mpira Mzee Kikwete: Naye alikuja kuangalia mpira? Ridhiwani: Ndiyo Mzee Kikwete: Ok. Hayo ndiyo mambo mnatakiwa mfanye. Msifike sehemu mkaona siasa ni vita.…
account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Ridhiwani: Mzee shikamoo

Mzee Lowasa: Marahaba mwanangu, hujambo?

Mzee Lowassa: Baba yako yupo wapi?

Ridhiwani: Yupo! Anaendelea vizuri lakini kwa sasa amesafiri kwenda Ethiopia kikazi.

Mzee Lowasa: Akirudi mwambie namsalimia sana

Ridhiwani: Nitafikisha salamu zako.

Haya ni…

Ridhiwani: Mzee shikamoo Mzee Lowasa: Marahaba mwanangu, hujambo? Mzee Lowassa: Baba yako yupo wapi? Ridhiwani: Yupo! Anaendelea vizuri lakini kwa sasa amesafiri kwenda Ethiopia kikazi. Mzee Lowasa: Akirudi mwambie namsalimia sana Ridhiwani: Nitafikisha salamu zako. Haya ni…
account_circle
Absalom Kibanda(@absakibanda) 's Twitter Profile Photo

Fare thee well Edward Ngoyai Lowassa. Mtu mkweli, kweli kweli. Kwako kusamehe saba mara sabini lilikuwa ni jambo la kawaida. Ulitufundisha, ulituasa, ulikuwa msikivu sana, mcha Mungu, na rafiki wa kweli uliyekuwa tayari kushaurika na kukosolewa. Ulikuwa mwalimu mwema na…

Fare thee well Edward Ngoyai Lowassa. Mtu mkweli, kweli kweli. Kwako kusamehe saba mara sabini lilikuwa ni jambo la kawaida. Ulitufundisha, ulituasa, ulikuwa msikivu sana, mcha Mungu, na rafiki wa kweli uliyekuwa tayari kushaurika na kukosolewa. Ulikuwa mwalimu mwema na…
account_circle
Mark J. Mwandosya(@MarkMwandosya) 's Twitter Profile Photo

'Killing Thatcher' is about the most audacious attack by IRA on the establishment. Margaret Thatcher survived. The nonfiction reads like an thriller on and counter-insurgency. It provides insights into 's checkered history.

'Killing Thatcher' is about the most audacious attack by IRA on the #British establishment. Margaret Thatcher survived. The nonfiction reads like an #Agathachristie thriller on #security and counter-insurgency. It provides insights into #NorthernIreland's checkered history.
account_circle
Absalom Kibanda(@absakibanda) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Freeman Mbowe anayo hoja ya msingi kuhusu R4 za Rais Samia Suluhu. Katika hili, Rais na CCM yake wajitafakari. Tubishane katika lile la maandamano.

account_circle
Absalom Kibanda(@absakibanda) 's Twitter Profile Photo

We can’t win the narrative battles by fighting from the pockets. If we are serious about changing the western narrative on Africa we must change our behaviour. Ethical conduct is a must.

account_circle