𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@__abdulazack) 's Twitter Profile
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@__abdulazack

Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah

ID: 1135266084100235265

calendar_today02-06-2019 19:25:01

194,194K Tweet

95,95K Followers

40,40K Following

Dr. Sisimizi (@sisimizi3) 's Twitter Profile Photo

BILIONI 140 ZAKAMILISHA UJENZI WA BARABARA MKOA WA KATAVI KM 352. Wakazi mkoa wa Katavi wanakwenda kunufaika na mradi mpya wa barabara wenye kilometa 352 kutoka Tabora mpaka Mpanda. Akizungumza Mkurugenzi Tanroads Mkoa wa katavi, Eng. Martin Mwakabende ofisini kwake amesema,

Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

SHULE YA SEKONDARI YA KATAVI WASICHANA KUZALISHA WANAFUNZI WAKIKE WENYE VIPAJI Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Katavi Wasichana Mwanahamisi Mwangomba, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Shule maalum ya wasichana ambayo ni ya Bweni, itakayorahisisha Mkoa huo

shania (@salha_shani) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Katavi Wasichana, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Shule maalum ya wasichana ambayo ni ya Bweni, itakayorahisisha Mkoa huo kuwa na wanafunzi wenye vipaji maalum. #mamayukokazini

Rashda Zunde (@rashdazunde) 's Twitter Profile Photo

#ZiaraYaMamaKatavi Wananchi wapo tayari kumpokea Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Katavi. #mamayukokazini #mamaanafanikisha

cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Omg!!! I never thought kuhusu hii siku. Hii ni heshima kwa Taifa jina la Rais Samia linapepea tu nje ya mipaka ya Taifa letu. Real recognize real. Mama yuko kazini.

Habari Digital (@habaridigital_) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo Julai 12,2024 amewasili Mkoani Katavi kwaajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani humo ambapo atashiriki Matukio mbalimbali ikiwemo Uzinduzi wa Miradi mbalimbali.

jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndio mwenyekiti wa Chadema anaetumia chama kujinufaisha yeye mwenyewe. Huyu anasema tumpe nchi miaka 10 ataibadilisha hii, wakati miaka 30+ ameshindwa kuleta mabadiliko kwenye chama chake licha ya kupewa ruzuku. Ufipa wajinga sana aisee πŸ˜‚

Jackie 🍭 (@kellenmbwambo) 's Twitter Profile Photo

#ZiaraYaMamaKatavi Mama Na wana Wa Katavi πŸ™πŸ½ upendo ni mkubwa sana #MamaAnafanikisha #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia

#ZiaraYaMamaKatavi 

Mama Na wana Wa Katavi πŸ™πŸ½ upendo ni mkubwa sana 
#MamaAnafanikisha #MamaYukoKazini  #TanzaniaYaSamia