Yose Meena (@yosemeena) 's Twitter Profile
Yose Meena

@yosemeena

electronics technician

ID: 1793897298616799232

calendar_today24-05-2024 06:51:06

159 Tweet

27 Followers

445 Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo usiku tuhakikishe simu zetu ziko FULLY CHARGED Kesho simu zetu ni nyenzo muhimu ya kuweka ushahidi wa matukio yote wakati wa maandamano 👉🏽Kama watazima mtandao (internet) endelea kupiga picha na video na utapandisha wakirudisha mtandao 👉🏽Weka password kwenye simu na usitumie

Leo usiku tuhakikishe simu zetu ziko FULLY CHARGED
Kesho simu zetu ni nyenzo muhimu ya kuweka ushahidi wa matukio yote wakati wa maandamano
👉🏽Kama watazima mtandao (internet) endelea kupiga picha na video na utapandisha wakirudisha mtandao
👉🏽Weka password kwenye simu na usitumie
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🔥Uoga wetu ndio SILAHA YAO🔥 Our Fear is their Weapon Very powerful ✊🏽 Ndo maana wamepiga kwata weekend yote hawa watutie woga 🙄 Sasa tushajua wamefeli ❌ Kesho siku ya kihistoria Let’s write history tomorrow #StopAbduction_Tanzania #StopAbductions🇹🇿 #StopAbductionTz

🔥Uoga wetu ndio SILAHA YAO🔥
Our Fear is their Weapon
Very powerful ✊🏽

Ndo maana wamepiga kwata weekend yote hawa watutie woga 🙄
Sasa tushajua wamefeli ❌
Kesho siku ya kihistoria
Let’s write history tomorrow
#StopAbduction_Tanzania 
#StopAbductions🇹🇿 
#StopAbductionTz
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Nimeshiriki maandamano ya amani nchi mzima kesho panapo majaaliwa nitakua mstari wa mbele kwenye maandamano, kama Soka ametekwa, Ali Kibao kauawa kukaa ndani ni kubariki kutekwa na KUAWA, nitakachokumbuka ni kusali sala ya mwisho kabla sijanyanyua bango langu. MSIOGOPE TUTASHINDA

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Ikitokea kesho nimekufa kwa kupigwa risasi na Polisi, msilie; shangilieni kwa kuwa sintakuwa nimekufa kwa kuiba au kudhulumu mali ya mtu bali kwa kupiginia haki na hasa hasa haki ya kuishi. Haki inayolindwa si tu na katiba yetu bali pia na sheria za kimataifa.

Ikitokea kesho nimekufa kwa kupigwa risasi na Polisi, msilie; shangilieni kwa kuwa sintakuwa nimekufa kwa kuiba au kudhulumu mali ya mtu bali kwa kupiginia haki na hasa hasa haki ya kuishi. Haki inayolindwa si tu na katiba yetu bali pia na sheria za kimataifa.
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Three police vehicles full of officers in riot gear are outside my residence. They've informed me I'm directed to be taken to the Regional Crimes Officer Kinondoni. I'm getting ready to go.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Ibara za 18 na 20 za katiba ya JMT ya 1985 na Kifungu cha 11(4),(5),(6),(7) na (8) vya sheria ya vyama vya siasa cap 258 havikuzingatiwa na Jeshi la Polisi kuhusu katazo lake kwa Maandamano ya CHADEMA.Hivyo amri ya Polisi ni batili na haramu kwa kukiuka Katiba na sheria .

Kennedy Wandera (@kennedywandera_) 's Twitter Profile Photo

#Tanzania's 🇹🇿 #Police on Monday intensified a crackdown on journalists covering the protests organised by the opposition in the commercial capital, Dar es Salaam over alleged killings and abductions of opposition officials, which authorities have banned. Journalists from

#Tanzania's 🇹🇿 #Police on Monday intensified a crackdown on journalists covering the protests organised by the opposition in the commercial capital, Dar es Salaam over alleged killings and abductions of opposition officials, which authorities have banned.

Journalists from
Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

While our chairman, Freeman Mbowe, was arrested on the street along with his family, his vice chairman, Tundu Antiphas Lissu, couldn't even step outside his door. This is a clear example of the opposition crackdown under President Samia's iron-fisted rule, designed to intimidate and

While our chairman, <a href="/freemanmbowetz/">Freeman Mbowe</a>, was arrested on the street along with his family, his vice chairman, <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>, couldn't even step outside his door. This is a clear example of the opposition crackdown under President Samia's iron-fisted rule, designed to intimidate and
Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Msanii na rapa Nay Wa Mitego maarufu kama Rais wa Kitaa ametangaza kuja na tamko hapo kesho kupitia digital platform zake za muziki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nay ameandika; “Siku ya kesho, Jumanne saa nne kamili asubuhi Rais wa kitaa nitakuwa nahutubia taifa. Nisaidieni

Msanii na rapa <a href="/naytrueboy/">Nay Wa Mitego</a> maarufu kama Rais wa Kitaa ametangaza kuja na tamko hapo kesho kupitia digital platform zake za muziki.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nay ameandika;

“Siku ya kesho, Jumanne saa nne kamili asubuhi Rais wa kitaa nitakuwa nahutubia taifa. Nisaidieni
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️KWA NINI MAANDAMANO YA LEO YALITIMIZA MALENGO MAKUU‼️ Kuna watu nimeona ambao wana upeo ila katika hiki wameonyesha UFINYU mkubwa wa mtazamo Ngoja niwaeleze kwa nini leo ni mafanikio 👉🏽Maandamano ya leo lengo lake kuu ilikuwa kuleta ATTENTION ya kitaifa na kimataifa kuhusu

‼️KWA NINI MAANDAMANO YA LEO YALITIMIZA MALENGO MAKUU‼️
Kuna watu nimeona ambao wana upeo ila katika hiki wameonyesha UFINYU mkubwa wa mtazamo
Ngoja niwaeleze kwa nini leo ni mafanikio

👉🏽Maandamano ya leo lengo lake kuu ilikuwa kuleta ATTENTION ya kitaifa na kimataifa kuhusu
Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Ambaye hajawahi kujaribu hawezi kujifunza jambo jipya. Hatua moja huanzisha nyingine. Harakati za kutaka mabadiliko huanza kama chemchem kabla ya kuwa mto kubwa utiririshao maji mengi. Babu zetu walianza kupigania Uhuru tangu 1900s, Tanganyika ikaja kupata Uhuru kamili 1961.

Ambaye hajawahi kujaribu hawezi kujifunza jambo jipya. Hatua moja huanzisha nyingine. Harakati za kutaka mabadiliko huanza kama chemchem kabla ya kuwa mto kubwa utiririshao maji mengi. Babu zetu walianza kupigania Uhuru tangu 1900s, Tanganyika ikaja kupata Uhuru kamili 1961.