Webiro Wakazi Wassira #TheLeader(@Wakazi) 's Twitter Profileg
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

@Wakazi

Artist | Activist | Actor | Hip Hop Connoisseur | Content Creator | Politician | Workethic | 1/4 of SSK | [email protected] | Link: https://t.co/QgttN8fCtU

ID:109200646

linkhttps://itun.es/i6Bq38B calendar_today28-01-2010 08:17:22

127,8K Tweet

248,6K Takipçi

7,0K Takip Edilen

Swahili ♎(@mzeekijanatz) 's Twitter Profile Photo

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader Moja kati ya vitu nimewahi kuchuma kwako Wakazi ni mambo ya uwekezaji, kuna hii kisha kuna ile umeongelea wazazi kununulia hisa za benki watoto badala ya kuwafungulia akaunti, Daaah ile ilikuwa ni somo kwangu maisha.

account_circle
Imani Henrick Luvanga(@Imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Mimi na Webiro Wakazi Wassira #TheLeader Tayari tuko live pale mjini YouTube.

Usije angamia kwa kukosa maarifa, eti Ooh! Mimi sijui hata namna gani naweza tengeneza pesa kwenye majukwaa ya kidijitali kupitia muziki, Webiro Wakazi Wassira #TheLeader alitoa shule ya maana kabisa hapa, Hallah 👇

🔗 youtu.be/cdZQdKIt63c?si…

Mimi na @Wakazi Tayari tuko live pale mjini YouTube. Usije angamia kwa kukosa maarifa, eti Ooh! Mimi sijui hata namna gani naweza tengeneza pesa kwenye majukwaa ya kidijitali kupitia muziki, @Wakazi alitoa shule ya maana kabisa hapa, Hallah 👇 🔗 youtu.be/cdZQdKIt63c?si…
account_circle
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader(@Wakazi) 's Twitter Profile Photo

Tanzania unaweza kununua kilichopo kwenye Soko la Hisa letu… Sio mpaka hizo za kigeni.

Mfano kama unaoenda beer, nunua hisa za TBL.

account_circle
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader(@Wakazi) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu sio wa high risk! So sio mbaya kuchukua fixed account za high rates. Tena pale unapokuwa na capital ya maana…

Ila kama bado kijana, CDs, Bonds, Saving, ni uoga! Piga business, take a few high risks investments, etc

Or just DIVERSIFY

account_circle