DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profileg
DevotaTweve

@TweveDevota

Media Personality & SDGs Champion | Instagram @devotatweve_

ID:2713275117

calendar_today15-07-2014 21:17:33

77,2K Tweets

80,5K Followers

824 Following

DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Inabidi Waziri mwenye dhamana kufanya doria mara kwa mara katika hifadhi ambazo ziko karibu na makazi ya wananchi ili kujua matatizo wanayopitia.

Askari wanaonekana kuwatesa raia na kujichukulia sheria mkononi, raia wamekuwa mateka katika nchi yao.

NB:Ng’ombe alipwe fidia

account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Huko Kahama kuna Mzee ana familia ya watu 30 anaomba msaada baada ya nyumba zake kubomolewa na mvua, pia magunia 60 ya chakula yameenda na maji .

Cc:AzamTv

account_circle
Kivulini (Under The Shade) Storytellers(@KivuliniStories) 's Twitter Profile Photo

Attention all sales and marketing enthusiasts eager to advance their careers in the art, creative, and media sector! This is your chance.
If you have what it takes, Kivulini Storytellers wants you. Apply via the link in our bio by May 5, 2024.

Attention all sales and marketing enthusiasts eager to advance their careers in the art, creative, and media sector! This is your chance. If you have what it takes, Kivulini Storytellers wants you. Apply via the link in our bio by May 5, 2024.
account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Usibebe mimba kwasababu unampenda unataka chata yake hata kama ana kuumiza na hakujali, usibebe mimba ili akuoe, tafadhali beba ukiwa tayari kimwili, kiroho, kiakili na kiuchumi pia.

account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

▪️Picha Viongozi wa Serikali, Viongozi na Wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Maendeleo yasiyo ya Kiserikali, Wataaaluma kutoka Vyuo Vikuu, Walimu na Wanafunzi ambao wameshiriki katika uzinduzi wa wa Ripoti za Tafiti kutoka @HakiELimu zinazogusa

▪️Picha Viongozi wa Serikali, Viongozi na Wafanyakazi wa Mashirika mbalimbali ya Maendeleo yasiyo ya Kiserikali, Wataaaluma kutoka Vyuo Vikuu, Walimu na Wanafunzi ambao wameshiriki katika uzinduzi wa wa Ripoti za Tafiti kutoka @HakiELimu zinazogusa #UstawiWaWatoto
account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Mume amuua mkewe kwa kumkatakata na shoka na kumzika porini chanzo kikidaiwa ni kutokana na wivu wa mapenzi akimtuhumu mkewe kumsaliti.

Mume amuua mkewe kwa kumkatakata na shoka na kumzika porini chanzo kikidaiwa ni kutokana na wivu wa mapenzi akimtuhumu mkewe kumsaliti. #ImetoshaSasa
account_circle
Shambani consultancy solutions(@shambaniconsult) 's Twitter Profile Photo

Every business faces challenges, but not every business knows how to overcome them.
Our business diagnosis experts conduct a thorough examination of your operations to identify areas for improvement and developing strategies to drive success.
Reset and bounce forward..!!

Every business faces challenges, but not every business knows how to overcome them. Our business diagnosis experts conduct a thorough examination of your operations to identify areas for improvement and developing strategies to drive success. Reset and bounce forward..!!
account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Kitu kinachotutesa wanawake ni kushindwa kujikubali, hatujifunzi licha ya wengi kupata matatizo.

NB: Ukitaka shepu piga zoezi

account_circle
Kyoga(@RebecaGyumi) 's Twitter Profile Photo

Teenage mothers experienced implicit resistance from school leaders as they were discouraged and rejected when they were seeking for readmission.
Wakuu wengi wa shule hawana uelewa wa Mwongozo na wengine wanabeba tamaduni zenye ubaguzi kwenye utekelezaji wa sera.
HakiElimu

account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Elimu, tunafurahi kwamba HakiElimu imefanya utafiti kuhusu kurejea shuleni kwa wasichana ambao wamekatiza masomo kwasababu ya ujauzito - Naibu Katibu Mkuu Dkt. Franklin Rwezimula, mgeni rasmi katika uzinduzi wa ripoti za utafiti.

Wizara ya Elimu, tunafurahi kwamba @HakiElimu imefanya utafiti kuhusu kurejea shuleni kwa wasichana ambao wamekatiza masomo kwasababu ya ujauzito - Naibu Katibu Mkuu Dkt. Franklin Rwezimula, mgeni rasmi katika uzinduzi wa ripoti za utafiti. #UstawiWaWatoto
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

Mwisho napenda kuihakikishia HakiElimu na wadau wengine kwamba tutatumia matokeo ya tafiti hizi mbili katika kuhakikisha kuwa tunazidi kuboresha Malezi na Makuzi ya Watoto pamoja na Elimu ya Wasichana waliorejea shuleni baada ya kujifungua - Naibu Katibu Mkuu Dkt. Franklin…

Mwisho napenda kuihakikishia @HakiElimu na wadau wengine kwamba tutatumia matokeo ya tafiti hizi mbili katika kuhakikisha kuwa tunazidi kuboresha Malezi na Makuzi ya Watoto pamoja na Elimu ya Wasichana waliorejea shuleni baada ya kujifungua - Naibu Katibu Mkuu Dkt. Franklin…
account_circle