Taasisi ya Moyo-JKCI(@TaasisiMoyoJKCI) 's Twitter Profileg
Taasisi ya Moyo-JKCI

@TaasisiMoyoJKCI

Ukurasa rasmi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Kwa mawasiliano
Barua pepe: [email protected]
Simu: +255 788 308 999 / +255 688 027 982

ID:845160081628938240

linkhttp://www.jkci.or.tz calendar_today24-03-2017 06:27:20

2,2K Tweets

30,2K Followers

28 Following

Follow People
Taasisi ya Moyo-JKCI(@TaasisiMoyoJKCI) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Highridge iliyopo jijini Arusha wakimsikiliza daktari bingwa wa moyo wa JKCI Dickson Minja alipokuwa akiwafundisha jinsi moyo unavyofanya kazi wakati wa maonesho ya kimataifa ya usalama na afya mahali pa kazi yanayofanyika Arusha.

account_circle
Taasisi ya Moyo-JKCI(@TaasisiMoyoJKCI) 's Twitter Profile Photo

Afisa Uuguzi wa JKCI Hildergard Karau akimpima sukari kwenye damu mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa kambi maalumu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services katika maonesho ya kimataifa ya usalama na afya mahali pa kazi yanayofanyika Arusha.

Afisa Uuguzi wa JKCI Benson Bisare akimwelezea mwananchi uhusiano kati ya urefu na uzito mara baada ya kupima uzito wakati wa kambi maalumu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services katika maonesho ya kimataifa ya usalama na afya mahali pa kazi yanayofanyika Arusha.

Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Dkt. John Mduma akipimwa shinikizo la damu na Afisa Uuguzi wa JKCI Odilia Njau alipotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya kimataifa ya usalama na afya mahali pa kazi viwanja vya General tyre jijini Arusha.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Daktari bingwa wa moyo wa JKCI Dickson Minja alipotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya kimataifa ya usalama na afya mahali pa kazi jijini Arusha.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimweleza Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo wakati Rais huyo alipotembelea Taasisi hiyo.

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mara baada ya kumaliza ziara yake ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akimwelezea Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud kuhusu huduma ya upasuaji mdogo wa moyo inayotolewa katika mtambo wa Cathlab wakati Rais huyo alipotembelea leo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akiangalia video fupi inayoonesha huduma zinazotolewa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati alipotembelea Taasisi hiyo leo kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa.

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) leo kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa.

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati alipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa.

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati alipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa.

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud amewapongeza wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa huduma nzuri wanayoitoa ya kuokoa maisha ya watu wenye matatizo ya moyo.