Tanzania Bound Buses
@TBoundBuses
Tunakupa taarifa kuhusu njia zote za basi nchini.
Powered by Bus Community (WANAZI)
ID:3624270502
https://twitter.com/i/communities/1563434978003718144 11-09-2015 21:11:16
77,3K Tweets
49,9K Followers
2,0K Following
Tanzania Bound Buses Mchina katengeneza sofa kwenye ABC hizi mpya tu, hizi nyingine ni vigoda vilivyoboreshwa
Tanzania Bound Buses Porcarl Nyambala aliepiga hizi picha ni master, shivo badman kabisa le profeseli aisee
Tanzania Bound Buses Kuna mwamba anaitwa Kidia One kwenye hii route ya Tilisho, ana ma siti makubwa balaaa, alafu ana free wifi ya maana, na ana mwaga moto vilivyo๐๐๐