Sw.Tek (@swahili_tek) 's Twitter Profile
Sw.Tek

@swahili_tek

Hili ni jukwaa la story za Teknolojia kwa lugha ya Kiswahili! 🌍

ID: 1577268053838123008

linkhttp://swahilitek.com calendar_today04-10-2022 12:03:26

3,3K Tweet

1,1K Followers

392 Following

Sw.Tek (@swahili_tek) 's Twitter Profile Photo

iPhone 16 Pro zitakuwa na mfumo mpya wa Audio Mix - itakuwa na uwezo a kuchagua aina za sauti wakati wa kurekodi #AppleEvent

iPhone 16 Pro zitakuwa na mfumo mpya wa Audio Mix - itakuwa na uwezo a kuchagua aina za sauti wakati wa kurekodi 

#AppleEvent
Sw.Tek (@swahili_tek) 's Twitter Profile Photo

Apple mpaka leo mwaka 2024 - iPhone za kawaida zinatumia 60Hz Refresh Rate (hazina ProMotion). Hii ni dhambi ya ujambazi! 120Hz sio kitu cha kunyima simu za gharama hii wakati kwa miaka ya sasa hata simu za laki 5 zinatumia kioo cha 120Hz.

Apple mpaka leo mwaka 2024 - iPhone za kawaida zinatumia 60Hz Refresh Rate (hazina ProMotion).

Hii ni dhambi ya ujambazi! 

120Hz sio kitu cha kunyima simu za gharama hii wakati kwa miaka ya sasa hata simu za laki 5 zinatumia kioo cha 120Hz.
Mario Nawfal (@marionawfal) 's Twitter Profile Photo

πŸ‡¨πŸ‡³CHINA SETS NEW WORLD RECORD WITH 8,100-DRONE LIGHT SHOW IN SHENZHEN The drones created intricate patterns, symbols, and animations, all perfectly synchronized for a breathtaking display. Source: Tech Explorers on Facebook

Sw.Tek (@swahili_tek) 's Twitter Profile Photo

πŸ†• iOS 18 itazuia wezi wa simu wasiweze kuuza spare za simu (kamera, betri na kioo). Mfumo huu utazuia mafundi wa simu kuweka vifaa vya simu ambazo zimeibiwa.

πŸ†• iOS 18 itazuia wezi wa simu wasiweze kuuza spare za simu (kamera, betri na kioo). 

Mfumo huu utazuia mafundi wa simu kuweka vifaa vya simu ambazo zimeibiwa.
Sw.Tek (@swahili_tek) 's Twitter Profile Photo

Mwonekano wa ndani ya simu ya Google Pixel 9. Kifuniko cha nyuma cha Pixel 9 Pro XL ni cha bei nafuu kutokana na muundo wake mpya.

Mwonekano wa ndani ya simu ya Google Pixel 9.

Kifuniko cha nyuma cha Pixel 9 Pro XL ni cha bei nafuu kutokana na muundo wake mpya.
Sw.Tek (@swahili_tek) 's Twitter Profile Photo

Apple inapitia kipindi kigumu baada ya mauzo ya iPhone 16 kuanza kwa speed ndogo. Apple inategemea mauzo ya simu yataongezeka kwa sababu ya kuweka akili bandia ya Apple Intelligence lakini bado haitasaidia kwa sababu Apple Intelligence haipatikani katika nchi nyingi kubwa.

Apple inapitia kipindi kigumu baada ya mauzo ya iPhone 16 kuanza kwa speed ndogo.

Apple inategemea mauzo ya simu yataongezeka kwa sababu ya kuweka akili bandia ya Apple Intelligence lakini bado haitasaidia kwa sababu Apple Intelligence haipatikani katika nchi nyingi kubwa.