Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profileg
Mwemezi Rwiza, PhD

@SwahiliBible

I teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (https://t.co/ugYmynyQkh…)

ID:65426411

linkhttps://www.nm-aist.ac.tz calendar_today13-08-2009 18:11:56

46,9K Tweets

79,1K Followers

1,7K Following

Follow People
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

😂😂😂 you made my day, son. No, not you! The tall and slender one. Can't stop watching his movements. I am going home now. 😂

account_circle
nmaist _official(@NM_AIST) 's Twitter Profile Photo

NM-AIST through the Artificial Intelligence & Complexity Sciences of the School of CoCSE has organized a boot camp to equip young minds with the world of artificial intelligence (AI).
Registration link : bit.ly/3wwSDc TZS 250,000 per Child.

NM-AIST through the Artificial Intelligence & Complexity Sciences of the School of CoCSE has organized a boot camp to equip young minds with the world of artificial intelligence (AI). Registration link : bit.ly/3wwSDc TZS 250,000 per Child.
account_circle
nmaist _official(@NM_AIST) 's Twitter Profile Photo

Congratulations to NM-AIST PhD. candidate Mr. Jonas Bayuo for publishing a paper in a high impact factor journal. Elsevier: Advances in Colloid and Interface Science (Impact Factor of 15.6)

Congratulations to NM-AIST PhD. candidate Mr. Jonas Bayuo for publishing a paper in a high impact factor journal. Elsevier: Advances in Colloid and Interface Science (Impact Factor of 15.6)
account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

- Wenyeviti wa mitaa
- Wenyeviti wa kata
- Watendaji wa mitaa
- Watendaji wa kata
- Madiwani
- Mbunge/ wabunge
- Wakurugenzi
- Wakuu wa wilaya,

ndani ya mkoa/mikoa husika hawawezi kabisa kufanya hadhara za kusikiliza kero za wananchi husika hadi aje mkuu wa mkoa? Kwenu ni hivyo?

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

USIOMBE kudaiwa na serikali; huwa wanataka chao leo leo kama siyo kesho. Sasa, wewe uwe ndo unaidai serikal; hakuna ofisi utaacha kuijua. Utazunguka hadi uzeeke au ufe na hutakaa upewe chako. Kwa ufupi, omba usidaiwe wala kuidai serikali.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

Ni ile miji ukifika unauliza wenyeji, 'Hivi hapa mjini kati ni wapi?' 🤣🤣🤣 Unaongeza,

'Namaanisha ilipo Posta, Soko, au Stendi (ya zamani)'

🤣🤣

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

Ukimshtua usingizini ukamuuliza primary ulikuwa na umri gani?

Majibu yake:
- Nilikuwa naendesha taxi.
- Nilikuwa na taxi tatu.
- Nilikuwa kiranja mkuu.
- Nilikuwa kinyozi kwenye saluni nne.
- Nilikuwa wa kwanza kununua bodaboda.

😂😂

What are you trying to hide?

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

Reading this, you may be driven to think it probably happened in the 1980s. Nope. It happened in this modern age of advanced technology.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

WATU wana mastress wanamkasirikia hadi Mungu. Yaani hawataki kusikia hata 'hayo mambo yenu ya Mungu'. Waonee huruma tu wakikujibu vibaya mtandaoni. Life is tough. Be kind. Usijibishane nao. Cortex imeshafunga. Haipokei tena ushauri.

account_circle
Mwemezi Rwiza, PhD(@SwahiliBible) 's Twitter Profile Photo

KULIKO umpige mwenzi wako bora kila mmoja wenu achukue njia yake kwa amani. Hapo vipi?

If you can bully, bully the devils in you.

account_circle