Radio Jambo
@RadioJamboKenya
Ongea usikike! 🇰🇪 97.5 NRB | 92.3 MSA | 100.1 KSM | 96.9 NKR | 99.5 ELD | 99.3 NYERI | 92.7 MERU | 95.3 WEBUYE | 89.3 KISII | 104.9 KITUI | 105.7 VOI | 📻
ID:2515401066
https://radiojambo.co.ke 22-05-2014 13:13:01
439,1K Tweets
246,0K Followers
311 Following
Follow People
Sancho atakuwa anarejea ugani Wembley Jumamosi hii tangu kupoteza penalti kwenye fainali ya Euro 2020 akidai kuwa haijafutika akilini.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/michezo/footba…
Msanii huyo alibainisha kuwa kuna wakati alikuwa akiimba barabarani na kupata hela kidogo kidogo kutoka kwa wapita njia.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/burudani/masta…
Mbele ya macho yake, rafiki yake wa kike alipiga backflips 2 na kutua kwa ustadi. Alisema kuwa uzoefu huo ulimfanya kuwa na maoni tofauti kuhusu mpenzi wake.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/burudani/dakia…
Wimbo huu ni sherehe ya upendo, ushirikiano, na furaha maradufu inayotokana na kushiriki safari ya maisha na mtu maalum.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/burudani/kibao…
Kim, 43, aliwasilisha kesi ya talaka kutoka kwa Kanye, 46, mnamo Februari 2021 na kutengana kulikamilishwa baada ya vita vikali mnamo Novemba 2022. Wakati wa ndoa yao, walipokea watoto wanne pamoja.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/burudani/masta…
Niko hapa, babe. Ninaweza kupika. Naweza kusafisha. Na ukinioa tuh hivi, mimi naachana na story za media natulia nyumbani hata sitaongea.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/burudani/masta…
Leo tumetingua Temple na mawaidha!!😂🙌🏽
#MbusiiNaLionTekeTeke
#RombosaFriday
#KituoChaWakenya
'Ninachotaka tu ada ya matunzo ili mtoto wangu aweze kwenda shule na kuwa na maisha bora ya baadaye,' alisema.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/habari/yanayoj…
Edinson Cavani ameifungia nchi yake ya Uruguay mabao 58 kwa mechi 136.
#JamboInfoGraphics #KituoChaWakenya
Alieleza jinsi alivyoumia moyo baada ya kugundua kwamba mpenzi wake alimuacha na kuanza kuchumbiana na msichana yule yule ambaye mpenzi wake wa zamani pia alimuacha na kuanza kuchumbiana naye.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/burudani/dakia…
Mwaka jana taifa la Kenya lilipigwa na butwaa baada ya miili zaidi ya 600 kufukuliwa katika eneo la Shakahola, kiini cha vifo vyao ilikuwa imani potovu.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/habari/makala/…
Edinson Cavani ni mchezaji wa hivi punde kutangaza kustaafu kutoka kwa soka la kimaitafa.
#JamboInfoGraphics #KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/habari/grafiki…
Leo ni vaibuu tu hadi saa moja jioni😌 Usikose kujiunga nasi!!
MBUSII DEH HSC ENUFA LION AHOM . #MbusiiNaLionTekeTeke #RombosaFriday #KituoChaWakenya
Mwimbaji huyo aliteseka sana kwa sababu ya kuchelewa kugunduliwa kwani ilimbidi kutafuta kila wakati pesa za matibabu ndani na nje ya nchi.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/burudani/masta…
'Uamuzi huu ulikuwa wa fedheha na sio wa huru na haki. Huu ulikuwa mtihani uliopangwa na jaji aliye na mgongano wa maslahi na adui wa taifa letu.'
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/habari/yanayoj…
Kanyari alijiunga TikTok miezi michache iliyopita na kuwasuta waliomsimanga kuwa alifuata pesa akisema kuwa kilichompeleka TikTok ni kuwahubiria vijana wanaozingirwa na ibilisi katika mtandao huo.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/burudani/masta…
Waziri wa Ulinzi Aden Duale amesema kuwa Kenya inasalia kujitolea kwa misheni yake ya kulinda amani nchini Haiti.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/habari/taarifa…
Hii ilikuwa baada ya Wakenya kulalamikia taasisi ya serikali kwamba vitambulisho vingine vilivyotumika miezi kadhaa iliyopita vilikuwa bado havijatolewa.
#KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/habari/taarifa…
Kombe aliagizwa kulipa mlalamishi Stanley Kenya gharama ya kesi isiyozidi shilingi milioni mbili. #KituoChaWakenya
radiojambo.co.ke/habari/mahakam…