Master Peace✌(@MillanziGeofrey) 's Twitter Profileg
Master Peace✌

@MillanziGeofrey

Baba, Udsm Almn, Street hustler, MP Nachingwea 2035.

Ukiishiwa INTERNET Bofya https://t.co/ng9n8pdt6U

ID:1098171530310283264

calendar_today20-02-2019 10:44:30

2,7K Tweets

1,0K Followers

2,7K Following

LUSAJO(@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu ana Unyonge sana baada ya kuona amefungua ofisi, tangu alipie Kodi mpaka Leo anaelekea kulipa Kodi nyingine anaona Hana faida aliyoingiza.

Nataka nikuoneshe CHANGAMOTO ambazo hutokea wakati wa founding pamoja na SOLUTIONS za kukusaidia kutoka hapo!

Itunze post hii 🧵👇🏾

Kuna mtu ana Unyonge sana baada ya kuona amefungua ofisi, tangu alipie Kodi mpaka Leo anaelekea kulipa Kodi nyingine anaona Hana faida aliyoingiza. Nataka nikuoneshe CHANGAMOTO ambazo hutokea wakati wa founding pamoja na SOLUTIONS za kukusaidia kutoka hapo! Itunze post hii 🧵👇🏾
account_circle
Temidayo(@thisistemidayo) 's Twitter Profile Photo

Utabiri.

Simba 0-1 Al Ahly
Al Ahly 1-0 Simba SC

SImba Out.

Yanga SC 1-0 Mamelodi
Mamelodi 1-0 Yanga SC

Penalties Yanga will win.

Weka Nyumba!!

account_circle
Brian Tracy Quotes(@BTracyQuotes) 's Twitter Profile Photo

“Move out of your comfort zone.

You can only grow if you are willing to feel awkward and uncomfortable when you try something new.”

– Brian Tracy

account_circle
Alexander(@AlesandroJR) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote.

Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu
account_circle
Alexander(@AlesandroJR) 's Twitter Profile Photo

SALA YA JIONI.

Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina.

Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo.

BABA YETU.
Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.

Utupe leo mkate

SALA YA JIONI. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina. Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo. BABA YETU. Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate
account_circle
Millambo®(@Millambo_) 's Twitter Profile Photo

MWONGOZO WA KUFUNGA NA AINA ZAKE 🧠

Kumekuwa na shauku kubwa ya kujifunza intermittent fasting.

Huku ni kufunga kwa vipindi.

Kufunga kwa vipindi ni njia ya lishe ya kudhibiti muda wa kula na muda wa kutokula.

Huu hapa mwongozo kamili: Tips, mbinu, hacks.

1. Misingi ya

MWONGOZO WA KUFUNGA NA AINA ZAKE 🧠 Kumekuwa na shauku kubwa ya kujifunza intermittent fasting. Huku ni kufunga kwa vipindi. Kufunga kwa vipindi ni njia ya lishe ya kudhibiti muda wa kula na muda wa kutokula. Huu hapa mwongozo kamili: Tips, mbinu, hacks. 1. Misingi ya
account_circle
Erling Haaland(@ErlingHaaland) 's Twitter Profile Photo

Thank you for the incredible support throughout the year, excited for what lies ahead!
Happy new year everyone! 🥂✨

account_circle
Alexander(@AlesandroJR) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote.

Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu
account_circle
MIRIAM💜(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Thread ya Nyimbo kali za Gospel wakati wote.
Henrick Mruma - Ukae Nami
Hillsong Worship - Fresh Wind/What a beutiful Name
Tafes Ardhi - Umestahili Yesu
Israel Mbonyi - Nina siri/ Nitaamini
Rehema simfukwe - Neema yako
Elevation Worship - Jireh 👇🏿

account_circle