Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profileg
Lubasha Jr

@MarekaMalili

|Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|

ID:372227239

linkhttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.bando.dev calendar_today12-09-2011 11:35:03

663,2K Tweets

622,0K Followers

1,7K Following

Dr. Kidy(@SunguDickson) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Huwa naamini kwenye kufanya kazi kwa moyo na kujitoa kwa wenye shida mbalimbali kusali au kutoa zaka hakukufanyi ufanikiwe nina rafiki yangu ana roho mbaya ila amefanikiwa sana na ni Tajiri mkubwa sna

account_circle
Makangara(@HamisiM9591) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Mungu anampa Dunia anayempenda na asiyempenda, ila humpa akhera anayempenda tuu. Kupewa Dunia sio ishara ya kupendwa na mungu. Akikupenda mungu hukufunulia elimu ya kumtii kisawasawa na kuogopa mipaka yake.

account_circle
Abdul Jabir(@AbdulJa42792373) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Nadhan jaribu kuwatizama matendo yao hao ambao hawana habar ya kusali wala kutoa fungu la 10, utakuta kuna mahali wanafanya vizr kuliko hao wanaoonekana wanafanya life la uchamungu ila moyoni wako chini sana.

account_circle
Scrat(@Rhode_Dr) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Spiritual life is very confusing and yet so very easy to understand and to live by, ni vile tuna tofautiana na bado tuna Imani changa,

Ukiisoma vizuri unakuja kujua haya maisha kila kitu kinaanzia huko in a spirit world, pia kila mtu na uwezo wake.

account_circle
Gayo D Andulile(@GayoMwakisole) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Wanasema kuna mambo ni principle tu, iwe ni mtu wa spiritual au la matokeo utaona. Uko spiritual ila hauzingatii principle hapo ndio penye mkwamo.

account_circle
Bepari(@Frank_Bepari) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Kwamba isingekuwa masuala ya kulipa kodi, wangepitisha bungeni wananchi wote wauwawe wabaki viongozi pekeyao😄 na meza zingepigwa

account_circle
Homby 🇹🇿(@Hombyjr1) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Unaweza kufanikiwa bila Mungu, sababu Mungu huruhusu ridhki hata kwa wasiomtambua ili mradi wanapambana, pia hata ukiwa unasali bila kujua prinples za mafanikio ni ngum kutoboa, na unaweza fanikiwa hata kwa ushetani, lakini mafanikio yenye Mungu yana Amani kubwa na yana dumu.

account_circle
Kevin(@Chilongozi2) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Walifanya hivi dhidi ya Chelsea wamefanya na Man City mara mbili na leo kwa bayern Haiwezakani kila wakati bahati iwe upande wao there is something which is not normal

account_circle
bravo msagati(@MsagatiBravo) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Kuna watu wanaishi kwa imani ya kwamba wamebarikiwa, hawaamini bahati mana bahati huweza kuwa mbaya au nzuri au isiwepo kabisa ila baraka kunyume chake laana, hawa watu kila wakigusa imo

account_circle
Mahmoud Said(@Mahmoudms01) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Kwa mujibu wa Uislamu.
1. Mungu ni mlezi, hivyo anawapa viumbe wote.
2. Mitihani ipo kwenye kukosa na kupata au kufanikiwa.
3. Rizki zetu zipo, zikiisha safari hiyo
4. Ibda si sababu ya rizki bali ni utii thabiti kwake.
5. Rizki au neema zingine hatuzioni e.g Afya, amani.

account_circle
why are you gay?(@samboiraa) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Kuna wakati unaona wanawanapiga pesa za illegal na hawadakwi sasa jaribu wewe 😂, Mungu akutole mfano chap 😂😂😂

account_circle
👑JAYJONƏS 👑(@KingJadonLA) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Kuna wana wapo home michongo inawafata halafu kuna wanaoikimbiza michongo inawakimbiaa life haiko fair, tuendelee kupambania kombee nakuilinda imani

account_circle