Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profileg
Lembrs Mollel

@LembrsM

ID:1050875400186941440

calendar_today12-10-2018 22:26:34

20 Tweets

77 Followers

723 Following

Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profile Photo

Kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote; Waefeso 6:18

account_circle
Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profile Photo

Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. 1 Yohana 1:9

account_circle
Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profile Photo

'Ukiona mtu anakwambia jambo la kipumbavu na yeye mwenyewe anajua kuwa unajua ni la kipumbavu..ukilikubali ujue amekudharau'...J.K. Nyerere.

account_circle
Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profile Photo

'Nenda kwa uaminifu katika mwelekeo
ya ndoto zako.
Uishi maisha ambayo umefikiria ' pasipo kufuata maisha ya mtu mwengineπŸ„β€β™€οΈπŸ€½β€β™‚οΈ

account_circle
Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profile Photo

'Elimu ni pasipoti yetu ya baadaye, kwa kesho ni kwa watu wanaoandaa leo.'πŸš’πŸ˜„πŸΈπŸ„β€β™€οΈ

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli Mtangazaji wa siku nyingi kwenye TV na Radio Nchini Tanzania Isaac Muyenjwa Gamba amefariki akiwa nyumbani kwake Bonn Ujerumani, taarifa zaidi kukujia. ( hii picha ni ya juzi Ujerumani) πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

Ni kweli Mtangazaji wa siku nyingi kwenye TV na Radio Nchini Tanzania Isaac Muyenjwa Gamba amefariki akiwa nyumbani kwake Bonn Ujerumani, taarifa zaidi kukujia. ( hii picha ni ya juzi Ujerumani) #RIPMwalimuwangu #RIPmyBrother #RIPMuye πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
account_circle
Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profile Photo

Siku moja utakaa na kuangalia nyumba na kukumbuka kuwa yote yaliyotokea hili kukufikisha wewe hapo ulipo..

account_circle
Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profile Photo

Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu. Yohana 3:3

account_circle
Lembrs Mollel(@LembrsM) 's Twitter Profile Photo

Mkielewana na kufahamiana vyema, Mwanamke mwenye Elimu sio tatizo. Ila mkiokotana lazima mchonge barabara mbele ya safari kwenye ndoa yenu....(itawashinda).

account_circle