Yegoboy🤞 (@ladslausmabwai) 's Twitter Profile
Yegoboy🤞

@ladslausmabwai

bwayboy#from #uk island @pamba jiji fc @simba sc @ mancity

ID: 1473709345179328518

calendar_today22-12-2021 17:38:18

1,1K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Big_Nicky✊️ (@big_nicky01) 's Twitter Profile Photo

Katika Sehemu Mungu aliamua kutugusa Watanzania basi ni kumchukua huyu Jembe , Chuma , kichwa kabisa hiki....Yaani Daaah Mungu aligusa panapouma..Sikuwai kuwa na huzuni kiongozi akifariki ila huyu jamaa mpaka Leo namkumbuka aseeh🙏....Like And Repost bila sababu kwa upendo tu❤️🙏

Katika Sehemu Mungu aliamua kutugusa Watanzania basi ni kumchukua huyu Jembe , Chuma , kichwa kabisa hiki....Yaani Daaah Mungu aligusa panapouma..Sikuwai kuwa na huzuni kiongozi akifariki ila huyu jamaa mpaka Leo namkumbuka aseeh🙏....Like And Repost bila sababu kwa upendo tu❤️🙏
wakuja (@be_franksr) 's Twitter Profile Photo

Kalala chini ubongo na fuvu vimetengana Hatoi sauti hana hata nguvu ya kulalama Macho yetu yanagongana ya kwangu yanaona haya Natamani kufumba maana naona uchungu kumtazama Ni butwaa siwezi eleza hali yake Mifupa imezagaa kadhaa haipo mahali pake Waungwana wamejaa wanauliza ka'

Kalala chini ubongo na fuvu vimetengana
Hatoi sauti hana hata nguvu ya kulalama
Macho yetu yanagongana ya kwangu yanaona haya
Natamani kufumba maana naona uchungu kumtazama

Ni butwaa siwezi eleza hali yake
Mifupa imezagaa kadhaa haipo mahali pake
Waungwana wamejaa wanauliza ka'
𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Men, Umechoswa na visirani vya mahusiano ya kisasa? Dalili (Green flags) 11 za mwanamke wa kulea 🏡💖 kutengeneza furaha na upendo Open Thread 🧵 1. Hana marafiki wengi wa kiume Anaelewa umuhimu wa mipaka katika uhusiano na anaheshimu uhusiano wake wa kimapenzi.

Men, 

Umechoswa na visirani vya mahusiano ya kisasa? 

Dalili (Green flags) 11 za mwanamke wa kulea 🏡💖 kutengeneza furaha na upendo

Open Thread 🧵 

1. Hana marafiki wengi wa kiume

Anaelewa umuhimu wa mipaka katika uhusiano na anaheshimu uhusiano wake wa kimapenzi.
Maluu (@maluu_captain) 's Twitter Profile Photo

🚨Padre leo ametusema sana vijana ambao hatujaoa, anasema tunakwepa vip tamaa za mwili tuhakikishe tunaona maan pia kwenye ndoa kuna mafanikio Amesahau hata yeye hana mke..!😂🙌

🚨Padre leo ametusema sana vijana ambao hatujaoa, anasema tunakwepa vip tamaa za mwili tuhakikishe tunaona maan pia kwenye ndoa kuna mafanikio

Amesahau hata yeye hana mke..!😂🙌
Thømz (@makabalajoseph) 's Twitter Profile Photo

“Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari(Ali Kamwe) ambaye ndiye anaisema Klabu” Engineer Hersi Via Wasafi TV

“Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari(Ali Kamwe) ambaye ndiye anaisema Klabu” Engineer Hersi 

Via Wasafi TV
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Binti, elewa kuwa mwanaume anayekupenda kwa dhati, hata mifuko yake ikauke kabisa, hicho kidogo kilichobaki atakupa chote. Yuko radhi yeye ateseke ili akuone wewe ukifurahi Huyo mwanaume ni baba yako mzazi.

Engkabora (@engkabora) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke mwaminifu atakupa amani ya Roho, atakupa attention ya kutosha. Unaweza kufikiri labda hana pa kwenda. Ukweli ni kwamba, machaguo ni mengi tu. Ila anajiheshimu na Kukuheshimu. zawadi pekee atakayostahili ni kuwa mama wa familia yako, sio kumgeuza chombo cha starehe.