edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profileg
edgar kibwana

@KibwanaEdgar

ID:1338748681

calendar_today09-04-2013 09:27:21

2,6K Tweets

36,3K Followers

204 Following

edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga Fiston Badulrazack amekiri kuwa 'misumari' ipo miongoni mwa wachezaji wanaocheza nafasi moja.

Fiston amesema pengine hicho ndicho chanzo cha yeye kutokufanya vizuri na kikosi cha Yanga.

Chanzo Rickmediatz

#EKsports || Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga Fiston Badulrazack amekiri kuwa 'misumari' ipo miongoni mwa wachezaji wanaocheza nafasi moja. Fiston amesema pengine hicho ndicho chanzo cha yeye kutokufanya vizuri na kikosi cha Yanga. Chanzo Rickmediatz
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| Nyota wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya Taifa ya Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kuwapa fedha kwa lazima na wasipofanya hivyo wanaonekana wabaya.

#EKsports || Nyota wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya Taifa ya Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kuwapa fedha kwa lazima na wasipofanya hivyo wanaonekana wabaya.
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Timu ya Taifa ya Morocco imefika Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tayari kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Taifa Stars.

Timu ya Taifa ya Morocco imefika Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tayari kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Taifa Stars.
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba Augustine Okrah anakiwasha huko kwao Ghana Bechem United FC

Takwiku zake hizi hapa!

Mechi - 7
Magoli - 5
Tuzo ya Mchezaji bora kwa mechi - 1

Tanzania alikwama wapi?

#EKsports || Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba Augustine Okrah anakiwasha huko kwao Ghana Bechem United FC Takwiku zake hizi hapa! Mechi - 7 Magoli - 5 Tuzo ya Mchezaji bora kwa mechi - 1 Tanzania alikwama wapi?
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya mawinga bora kwa sasa EPL Dejan Kulusevski wa klabu ya Tottenham anasema mawinga wake bora ni pamoja na..

1.Eden Hazard
2.Cristiano Ronaldo
3.Mohamed Salah
4.Willian
5.Gareth Bale

account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

TETESI

|| Mshambuliaji wa klabu ya Simba Jean Othos Baleke huenda akatimka klabuni hao kwenye kipindi cha dirisha dogo la usajili la mwezi January barani Ulaya.

Baleke anatajwa kujiunga na klabu moja inayoshiriki moja ya Ligi nchini Ufaransa.

TETESI #EKsports || Mshambuliaji wa klabu ya Simba Jean Othos Baleke huenda akatimka klabuni hao kwenye kipindi cha dirisha dogo la usajili la mwezi January barani Ulaya. Baleke anatajwa kujiunga na klabu moja inayoshiriki moja ya Ligi nchini Ufaransa.
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba SC Ismael Aden Rage ameishauri klabu yake hiyo ya zamani kudai fidia ya Shilingi milioni 100 kwa Bango la magoli 5-1 kuonekana Tegeta na Morocco.

Source (Sports Xtra)

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba SC Ismael Aden Rage ameishauri klabu yake hiyo ya zamani kudai fidia ya Shilingi milioni 100 kwa Bango la magoli 5-1 kuonekana Tegeta na Morocco. Source (Sports Xtra)
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| Mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal, Barcelona, Arta Solar7 ya Djibouti na timu ya Taifa ya Cameroon Alexender Song ametangaza kustaafu kucheza soka la kulipwa hii leo November 14 akiwa na umri wa miaka 36.

#EKsports || Mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal, Barcelona, Arta Solar7 ya Djibouti na timu ya Taifa ya Cameroon Alexender Song ametangaza kustaafu kucheza soka la kulipwa hii leo November 14 akiwa na umri wa miaka 36.
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Afisa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu ya Simba Imani Kajula amesema Whatsapp waliifata Simba na kuiomba iwe timu ya kwanza Afrika Mashariki kufungua Channel ya Whatsapp.

Simba imezindua hii leo channel mpya kupitia mtandao wa Whatsapp na imetambulishwa na CEO wa klabu hiyo Kajula.

Afisa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu ya Simba Imani Kajula amesema Whatsapp waliifata Simba na kuiomba iwe timu ya kwanza Afrika Mashariki kufungua Channel ya Whatsapp. Simba imezindua hii leo channel mpya kupitia mtandao wa Whatsapp na imetambulishwa na CEO wa klabu hiyo Kajula.
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage anaipa nafasi klabu ya Simba kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Rage ameipa nafasi Simba na Wydad AC kufuzu hatua ya robo fainali msimu huu.

#EKsports || Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage anaipa nafasi klabu ya Simba kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Rage ameipa nafasi Simba na Wydad AC kufuzu hatua ya robo fainali msimu huu.
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| Klabu ya Simba imeshinda tuzo ya mashabiki bora wa michuano mipya ya African Football League 2023.

Hii inatokana na namna walivyojitokeza katika mchezo wa ufunguzi wa michuano hii bila kuwa na fujo wala changamoto yoyote.

Hongereni sana Mashabiki wa Simba

#EKsports || Klabu ya Simba imeshinda tuzo ya mashabiki bora wa michuano mipya ya African Football League 2023. Hii inatokana na namna walivyojitokeza katika mchezo wa ufunguzi wa michuano hii bila kuwa na fujo wala changamoto yoyote. Hongereni sana Mashabiki wa Simba
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| Mamelodi Sundowns deserved to be champions of Afrika... Wana kikosi imara sana, wanapambana sana, wanajitolea sana yani...

Nani mwenye shaka na huu ubingwa ? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

FT: MAMELODI SUNDOWNS 2-0 WYDAD AC

#EKsports || Mamelodi Sundowns deserved to be champions of Afrika... Wana kikosi imara sana, wanapambana sana, wanajitolea sana yani... Nani mwenye shaka na huu ubingwa ? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ FT: MAMELODI SUNDOWNS 2-0 WYDAD AC
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kuangalia Soweto Derby hii leo inawezekana kabisa Kariakoo Derby ikawa Derby yenye mvuto kwa sasa Afrika.
NB: Yawezekana mvuto wa Derby nyingine upo zaidi nje ya Uwanja

account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| Aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi cha Simba Roberto Oliviera amesema katika usajili uliofanywa na klabu ya Simba katika dirisha kubwa la usajili ni maingizo ya wachezaji wawili tu wa maana ambao ni Fabrice Ngoma na Fondoh Che Malone.

#EKsports || Aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi cha Simba Roberto Oliviera amesema katika usajili uliofanywa na klabu ya Simba katika dirisha kubwa la usajili ni maingizo ya wachezaji wawili tu wa maana ambao ni Fabrice Ngoma na Fondoh Che Malone.
account_circle