edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profileg
edgar kibwana

@KibwanaEdgar

ID:1338748681

calendar_today09-04-2013 09:27:21

2,7K Tweets

36,7K Followers

204 Following

edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa mabeki wazawa wenye uwezo wa mkubwa wa kukabiliana na washambuliaji wa timu pinzani.

Kenny unamfananisha na beki yupi Ulaya...?

Reuben Dias au Van Dijk

Miongoni mwa mabeki wazawa wenye uwezo wa mkubwa wa kukabiliana na washambuliaji wa timu pinzani. Kenny unamfananisha na beki yupi Ulaya...? Reuben Dias au Van Dijk
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Muulize shabiki mwenzio kuwa anaona dalili za timu yake kukamilisha mchakato wa mabadiliko au mpaka timu ianze kunesanesa kupata matokeo ya hovyo kama mpapai wa Zulia...😊😊😊😊 ndio waseme mwekezaji HAFAI/MFADHILI

Kipa wa klabu ya Singida Fountain Gate Beno Kakolanya ametoroka kambini masaa machache kabla ya mchezo wa Singida vs Yanga ..SC

Beno unatafutwa umetoroka Kambini...
😊😊😊😊

Kipa wa klabu ya Singida Fountain Gate Beno Kakolanya ametoroka kambini masaa machache kabla ya mchezo wa Singida vs Yanga ..SC Beno unatafutwa umetoroka Kambini... 😊😊😊😊
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Wanasema Derby hazina mwenyewe ila tuache wakati mwingine uhalisia utawale.....Yanga SC ya sasa vs Simba SC ya sasa.....

account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

'Kama rahisi nenda wewe kapigane ngumi....😊😊..'

Ila bado tunajiuliza jamaa bondia au daktari..??!!!

Mdau DM

'Kama rahisi nenda wewe kapigane ngumi....😊😊..' Ila bado tunajiuliza jamaa bondia au daktari..??!!! Mdau DM
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

|| 'Clement Mzize ni moja ya washambuliaji bora wazawa kwasasa nchini, laiti kama angepita kwenye misingi bora ya uandaaji wa vipaji leo asingecheza hapa Tanzania angekuwa Ulaya.' - Meja Mstaafu Abdul Mingange.

FT: DODOMA JIJI 0-2 YANGA

#EKsports || 'Clement Mzize ni moja ya washambuliaji bora wazawa kwasasa nchini, laiti kama angepita kwenye misingi bora ya uandaaji wa vipaji leo asingecheza hapa Tanzania angekuwa Ulaya.' - Meja Mstaafu Abdul Mingange. FT: DODOMA JIJI 0-2 YANGA
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Katika ripoti ya mapato na matumizi ya klabu ya Simba Mo hatajwi kama chanzo cha mapato ya klabu.Tafsiri yake ni kuwa klabu inajiendesha bila Mo....😊😊

account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

'Ni kikwazo kwa wawekezaji wengine....?....
'Kama ni kikwazo why aendeleee....?
'Maisha ya klabu ya Simba mbeleni yana mwanga.....?
' Timu zinajiendesha kihasala hivyo lazima wawepo watu wa kutoa hela muda wote......'
😊😊

'Ni kikwazo kwa wawekezaji wengine....?.... 'Kama ni kikwazo why aendeleee....? 'Maisha ya klabu ya Simba mbeleni yana mwanga.....? ' Timu zinajiendesha kihasala hivyo lazima wawepo watu wa kutoa hela muda wote......' 😊😊
account_circle
edgar kibwana(@KibwanaEdgar) 's Twitter Profile Photo

Basi tuseme uchovu ndio tatizo kwao...Ila poor first half kwa Simba SC na Mashujaa wangekuwa clinical basi wana magoli 2 na kadi nyekundu...😊😊

Maisha ya Liverpool yanabadilika kuanzia msimu ujao. Yatakuwaje ni shahuku ya kila shabiki wa mpira.Tuombe afya njema ila wataanza upya......

|| Juma Kaseja ni moja ya magolikipa waliowahi kufanya vizuri kwenye ngazi ya klabu Barani Afrika na amedaka kwa kiwango bora sana akiwa na timu ya Taifa ya Tanzania.

Tutajie golikipa wako bora mzawa ambaye ana ubora kumzidi Juma Kaseja Juma _________?

#EKsports || Juma Kaseja ni moja ya magolikipa waliowahi kufanya vizuri kwenye ngazi ya klabu Barani Afrika na amedaka kwa kiwango bora sana akiwa na timu ya Taifa ya Tanzania. Tutajie golikipa wako bora mzawa ambaye ana ubora kumzidi Juma Kaseja Juma _________?
account_circle