Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile
Kilimanjaro Christian Medical Centre

@kcmc1971

Kilimanjaro Christian Medical Centre is located in the foothills of the snow capped, Mount Kilimanjaro, Tanzania.

ID: 1111594636798316545

linkhttps://kcmc.ac.tz calendar_today29-03-2019 11:43:08

869 Tweet

4,4K Followers

58 Following

Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mtendaji wa Shirika la Msamaria Mwema na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya KCMC Prof. Gileard Masenga anatoa pongezi kwa Mhe. Jenista Mhagama kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Afya. Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

Katibu Mtendaji wa Shirika la Msamaria Mwema na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya KCMC Prof. Gileard Masenga anatoa pongezi kwa Mhe. Jenista Mhagama kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Afya. <a href="/wizara_afyatz/">Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿</a>
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Wafanyakazi kutoka Hospitali ya FAME iliyopo Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha, wamefanya ziara maalum KCMC kwa ajili ya kujifunza na kushuhudia jinsi mfumo wa kisasa wa utunzaji wa kumbukumbu za wagonjwa (eHMS). FAME Africa

Wafanyakazi kutoka Hospitali ya FAME iliyopo Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha, wamefanya ziara maalum KCMC kwa ajili ya kujifunza na kushuhudia jinsi mfumo wa kisasa wa utunzaji wa kumbukumbu za wagonjwa (eHMS). <a href="/FAMEmedical/">FAME Africa</a>
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Esther C. Maruma Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa kutoka Makao Makuu ya benki hiyo amefanya ziara katika hospitali ya KCMC leo tarehe 19/08/2024. Lengo la ziara hii ni kuimarisha na kukuza ushirikiano kati ya taasisi zetu BANK OF AFRICA - TANZANIA

Esther C. Maruma Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa kutoka Makao Makuu ya benki hiyo amefanya ziara katika hospitali ya KCMC leo tarehe 19/08/2024. Lengo la ziara hii ni kuimarisha na kukuza ushirikiano kati ya taasisi zetu <a href="/BANKOFAFRICA_TZ/">BANK OF AFRICA - TANZANIA</a>
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara nyingine tena @maendeleobankplc wanakuletea, Maendeleo Bank Marathon 2024 "Hatua ya Faraja Msimu wa Pili" Mbio zitafanyika tarehe 7/9/2024 katika viwanja vya Farasi Dar es salaam Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara nyingine tena @maendeleobankplc wanakuletea, Maendeleo Bank Marathon 2024 "Hatua ya Faraja Msimu wa Pili" Mbio zitafanyika tarehe 7/9/2024 katika viwanja vya Farasi Oysterbay Dar es salaam mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Today, we had the honor of hosting Jacqueline Kalimunda Program Management Specialist, Eng. Boniface Marwa and Environmental Officer Dosteus Lopa all from USAID/Tanzania. Their visit was focused on monitoring the progress of the Radiation Project USAIDTanzania

Today, we had the honor of hosting Jacqueline Kalimunda Program Management Specialist, Eng. Boniface Marwa and Environmental Officer Dosteus Lopa all from USAID/Tanzania. Their visit was focused on monitoring the progress of the Radiation Project <a href="/USAIDTanzania/">USAIDTanzania</a>
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara nyingine tena Maendeleo Bank PLC wanakuletea, Maendeleo Bank Marathon 2024 "Hatua ya Faraja Msimu wa Pili" Mbio zitafanyika tarehe 7/9/2024 katika viwanja vya Dar es salaam jisajili kupitia events.maendeleobank.co.tz

Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

DKT. ELICHILIA SHAO KUTOKA KCMC PAMOJA NA WADAU WA AFYA WATATOA ELIMU YA AFYA KUHUSU UGONJWA WA MPOX KUPITIA X Space. Kupitia: Mtandao wa kijamii wa X Tarehe: 24/08/2024 Muda: Saa 12 Jioni USIKOSE!

DKT. ELICHILIA SHAO KUTOKA KCMC PAMOJA NA WADAU WA AFYA WATATOA ELIMU YA AFYA KUHUSU UGONJWA WA MPOX KUPITIA X Space.

Kupitia: Mtandao wa kijamii wa X 

Tarehe: 24/08/2024 

Muda: Saa 12 Jioni 

USIKOSE!
Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya KCMC kupitia Idara yake ya Saratani imefungua rasmi mafunzo ya siku 2 kwa watoa huduma za afya katika mkoa wa Kilimanjaro. Mafunzo haya yana lengo la kuwajengea uwezo juu ya uelewa wa saratani, njia za kujikinga, na njia za rufaa zinazotolewa hapa KCMC.

Uongozi wa Hospitali ya KCMC mapema leo umeendesha mafunzo ya awali kwa watumishi wapya wa fani ya famasi. Katika hatua hii muhimu, watumishi wamejifunza kuhusu taratibu za kazi, sera na kanuni za hospitali, pamoja na maadili ya taaluma yao.

Viongozi kutoka CRDB Bank Idara ya Wateja Wakubwa wa Benki wakiongozwa na Meneja wa CRDB Bank Tawi la KCMC ndugu Selestine Mchome wamefanya ziara katika hospitali ya KCMC leo tarehe 03/09/2024. Lengo la ziara hii ni kuimarisha na kukuza ushirikiano baina ya taasisi hizi mbili.

Today, on September 4th, 2024, KCMC Hospital proudly marks a decade of life-changing impact through our Orthopaedic Rehabilitation Unit (ORU). Since admitting our first patients in September 2014.

Hospitali ya Rufaa ya Kanda KCMC iliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro imeanzisha programu maalumu ya kurejesha tabasamu kwa watoto waliozaliwa na mdomo wazi ( mdomo sungura) bila gharama.

Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya KCMC leo tarehe 05/09/2024, imeingia rasmi makubaliano na Kilimanjaro Wonders Sports Center kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo katika eneo la KCMC. Ujenzi huu ni hatua kubwa katika kuimarisha afya ya jamii kwa kuhimiza michezo na mazoezi