Jizzle Mwakaripost (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile
Jizzle Mwakaripost

@jizzlewantandu

Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu//The enemy of my enemy is my friend// Man City💙//Simba Sc//
Hala Madrid// ph 4:13//Incauda venenum

ID: 1532590217596633088

calendar_today03-06-2022 05:10:09

270,270K Tweet

9,9K Followers

2,2K Following

goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

Wanangu wa BACK BENCHA MNAPOTUPIGIA simu acheni MASWALI ya kuuliza "UKO WAPI" ila nendeni Moja kwa Moja kweny SHIDA zenu mana shida zenu ndo zinategemea KUWAAMBIA sisi TULIPO.

Wanangu wa BACK BENCHA MNAPOTUPIGIA simu acheni MASWALI ya kuuliza "UKO WAPI" ila nendeni Moja kwa Moja kweny SHIDA zenu mana shida zenu ndo zinategemea KUWAAMBIA sisi TULIPO.
M.D (🅨) (@regantesha_) 's Twitter Profile Photo

Mnaletewa Mamluki wa CCM humu mnaonyeshwa picha ya paja tu mnasahau kila kitu mnaanza kujadili mapaja.. Humu tunajisifu tu ila kimsingi ni moja ya platform yenye ujinga mwingi sana.

Dullah_theKing🎶 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

👉🏽 Nilishawahi kusema kuhusu ubora wa mwanetu "Jamal Coded" kuchagua majina bora sana katika Kolabo zake, kila ngoma ikitoka inaunganisha majina makali sana kiwandani 🙌🏽 Si mara ya kwanza kufanya kazi na "ConBoi" pia "ChiBees" amerudi nao tena ndani ya ngoma aliyoipa jina la

👉🏽 Nilishawahi kusema kuhusu ubora wa mwanetu "Jamal Coded" kuchagua majina bora sana katika Kolabo zake, kila ngoma ikitoka inaunganisha majina makali sana kiwandani 🙌🏽

Si mara ya kwanza kufanya kazi na "ConBoi" pia "ChiBees" amerudi nao tena ndani ya ngoma aliyoipa jina la
Maluu (@maluu_captain) 's Twitter Profile Photo

🚨Kucheza PS na jobless kazi sana, Sijui kabonyeza wap Mashabiki Wameingia Uwanjani Wanapiga wachezaji Wangu..!😂🙌

Mwaura Robert (@mwaurarobert2) 's Twitter Profile Photo

To all good people of ethiopia, numbering over 120m plus,let me take this moment to with you a very blessed happy new year. I in particular thank you for this great achievement of putting up this mega dam at a cost of over $5b. May peace came to your country, be blessed

To all good people of ethiopia, numbering over 120m plus,let me take this moment to with you a very blessed happy new year. I in particular thank you for this great achievement of putting up this mega dam at a cost of over $5b. May peace came to your country, be blessed
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Wana wengi humu wapo na akili na utu wa kibinadamu sometimes wanafanya masihara na utani siku ziende tu ila kuna wengine ni hawana akili kweli wana tabia za kichoko. How Come unaumizwa na uzuri wa mwanamke kiasi cha kufurahia matatizo kisa Manyege yako. Sheenzi 🚮🚮🚮

Wana wengi humu wapo na akili na utu wa kibinadamu sometimes wanafanya masihara na utani siku ziende tu ila kuna wengine ni hawana akili kweli wana tabia za kichoko. How Come unaumizwa na uzuri wa mwanamke kiasi cha kufurahia matatizo kisa Manyege yako.
Sheenzi 🚮🚮🚮
Jizzle Mwakaripost (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Nimepita mahali nikahisi wamasai wa Melela Moro wametoa deal la kupush nyama choma baadae sana nakuja kugundua kuwa ni paja la mtu aliyewahi kupata ajali ya moto. Nampa sana pole japo location haikuwa sahihi