Rastafarian culture
@Ireneigora
Take it Easy I didn't mean to hurt you 🧎🤥
ID:1549241276305915906
19-07-2022 03:54:57
148,4K Tweets
81,2K Followers
4,2K Following
Wizara ya Kilimo inaendelea kutekeleza vipaumbele vya mwaka 2023/2024 na kuongeza baadhi ya vipaumbele vinavyomnufaisha mkulima moja kwa moja katika Mwaka wa Bajeti 2024/2025. Kati ya vipaumbele hivyo ni pamoja na....👇
#BajetiYaWakulima .
Wizara kupitia tume imekamilisha mapitio ya rasimu ya sera ya maendeleo ya ushirika ya mwaka 2002 kwa kujumuisha maoni mbalimbali ya wadau na kuhakikisha kuwa rasimu ya sera inaakisi mwelekeo wa sasa wa ushirika ~ Waziri wa Kilimo Mh Hussein M Bashe
#BajetiKilimo
Baada ya Hotuba ya bajeti ya kilimo ya mwaka wa Fedha 2024/2025 kutakuwa na X Space.
Usipange kukosa saa moja kamili za jioni.
#BajetiKilimo l #LishaTaifaLishaDunia
#BajetiYaWakulima l #Ajenda1030
#BajetiYaWakulima
Salaam Ndugu Zangu.
Nimetoa hoja ya Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka wa Fedha 2024-2025
Hotuba inapatikana hapa - kilimo.go.tz/resources/view…
Leo katika wa uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Bajeti 2024/25, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein M Bashe alianisha vipengele muhimu vya bajeti hio.
#dirayasamia #BajetiYaWakulima
Mwaka wa Bajeti 2024/2025.
Kati ya vipaumbele hivyo sita ni pamoja na Kuimarisha upatikanaji wa masoko ndani na nje ya nchi, ili kutekeleza lengo la kulilisha Taifa na kulisha Dunia kibiashara. Hussein M Bashe
#BajetiKilimo l #LishaTaifaLishaDunia
#BajetiYaWakulima l #Ajenda1030
Miongoni mwa vipaumbele vya mpango wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Fedha 2024/2025 ni kusomesha Watafiti ili kuongeza ufanisi kwenye kazi zao
#BajetiYaWakulima
#Ajenda1030
#LishaTaifaLishaDunia
Miongoni mwa vipaumbele vya mpango wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Fedha 2024/2025 ni kusomesha Watafiti ili kuongeza ufanisi kwenye kazi zao
#BajetiYaWakulima
#Ajenda1030
#LishaTaifaLishaDunia
Leo ndiyo leo.
Kutakuwa na Space ya Uchambuzi wa Hotuba ya Bajeti ya kilimo 2024/2025
Leo tarehe 02/05/2024
Muda ni Saa 07:00 (Saa Moja Jioni) usikose.
#BajetiKilimo l #LishaTaifaLishaDunia
#BajetiYaWakulima l #Ajenda1030
Leo ndiyo leo.
Kutakuwa na Space ya Uchambuzi wa Hotuba ya Bajeti ya kilimo 2024/2025
Leo tarehe 02/05/2024
Muda ni Saa 07:00 (Saa Moja Jioni) usikose.
#BajetiKilimo l #LishaTaifaLishaDunia
#BajetiYaWakulima l #Ajenda1030
“Wizara ya Kilimo tumeamua badala ya kununua magari ya sisi viongozi tutaweka fedha kwa ajili ya kununua magari kwa mafisa kilimo” – Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB) Hussein M Bashe
#BajetiYaWakulima
Moja ya vipaumbele Sita (6) vya Mpango wa Bajeti Mwaka 2024/2025 ni;
Uwekezaji kwenye huduma za ugani
Kwa kununua pikipiki 600 na vipima afya ya udongo 43 na kuvisambaza
kwa Maafisa Ugani. Kuendelea kujenga nyumba 50 za Maafisa Ugani.
#BajetiYaWakulima
#LishaTaifaLishaDunia
Moja ya mafanikio ya Bajeti ya kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ni pamoja na upatikanaji wa mbolea kwa wingi kupita mahitaji.
Wizara ya Kilimo
#BajetiKilimo l #LishaTaifaLishaDunia
#BajetiYaWakulima l #Ajenda1030
Malengo ya wizara ya kilimo katika mwaka 2024/25 chini ya Mhe,Hussein M Bashe .
#BajetiYaWakulima .
#BajetiKilimo