@Ibrahim44184043
ID:1528256561965154305
calendar_today22-05-2022 06:09:34
9 Tweets
97 Followers
790 Following
7 months ago
SOMA KWA MAKINIACHA KUANGALIA PORNOUraibu wa Kutazama video za ngono unaathiri maisha yako kitabia, kiakili, kihisia na hata kiroho pia. Mazoea ya kutazama video za ngono yanaweza kuathiri maisha yako kwa kiasi kikubwa pale yanapotoka katika hali ya mazoea na kuwa TABIA.…
TAZAMA PICHA VIZURI, rudia kutazama hata Mara 5 ndipo utamuelewa Mwalimu vizuri:1. ukitoa msaada pasipostahili inaweza kuwa chanzo cha Anguko lako.2. sio kila anayeomba msaada ukazani ana shida kweli .3. Sio kila anayeomba msaada ni mwema, Mwingine anahitaji msaada kisha…
1 year ago
Taja kirefu cha DJ ama tukuue.
Wanaume kwanini hamtuoi?
Eti una uhakika akikohoa haichomoki?