Prof. Chanankwingwi(@IbnKhalduun) 's Twitter Profileg
Prof. Chanankwingwi

@IbnKhalduun

Patriotic citizen|Political trend-setter|Professional money-man|Propagandist||

ID:713571930

linkhttp://www.islamiconlineuniversity.com calendar_today24-07-2012 03:01:47

1,8K Tweets

403 Followers

3,5K Following

MKAA WA IDRIS🌴🌲(@MkaaWaIdris) 's Twitter Profile Photo

Anaomba kusaidiwa ili aweze kuendelea na masomo yake ya sekondari. Ni mkazi wa wilaya ya kaliua mkoa wa Tabora.Kama kuna mtu anafaham taasisi au mtu binafsi anaweza kumsaidia binti huyu naomba tuwasiliane ili aweze kumfikia 0743846826. Ahsanteni sana
twitter.com/mr_mkaa96/stat…

Anaomba kusaidiwa ili aweze kuendelea na masomo yake ya sekondari. Ni mkazi wa wilaya ya kaliua mkoa wa Tabora.Kama kuna mtu anafaham taasisi au mtu binafsi anaweza kumsaidia binti huyu naomba tuwasiliane ili aweze kumfikia 0743846826. Ahsanteni sana twitter.com/mr_mkaa96/stat…
account_circle
Prof. Chanankwingwi(@IbnKhalduun) 's Twitter Profile Photo

Elections z business pia, tunaamini muwakilishi atakaechaguliwa ataweza kutengeneza mazingira ya kuzaa zaidi ya bilioni moja! Tumeinvest

account_circle
Prof. Chanankwingwi(@IbnKhalduun) 's Twitter Profile Photo

Hivi vitu n mtambuka jmni! Kila jambo lina umuhimu wake, au tufute uchaguzi mdogo? Au tufute vyama? Au tufute utawala wa sheria? twitter.com/CarolNdosi/sta…

account_circle
Prof. Chanankwingwi(@IbnKhalduun) 's Twitter Profile Photo

Kabla hujaanza kutongoza hebu chunguza ukiona kuna harufu ya KIBUTI msuse huyo msichana na kinyume chake shiriki kumfukuzia! Cc CDM!

account_circle
Prof. Chanankwingwi(@IbnKhalduun) 's Twitter Profile Photo

Tunafarijika sana kuona @uvccm1978 wanafanya waliyotuahidi kiutendaji, congrats Cde's Kheri & Shaka! twitter.com/darmpya_/statu…

account_circle