Happie๐Ÿ’• (@happie_thom) 's Twitter Profile
Happie๐Ÿ’•

@happie_thom

Accountant by Pro| Influencer | A Sister and A Friend| Lord is my shepherd๐Ÿ™| Man City| โšฝโšฝ| LiveLoveLaughโค

ID: 1149043805208940546

calendar_today10-07-2019 19:52:46

169,169K Tweet

128,128K Followers

2,2K Following

Sonninoโšก (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Mfano wewe Nikikuuliza Swali Kwanini elimu yetu tunakuwa na kundi kubwa la Watu Ambao wasipopata ajira wanakuwa hawawezi kujisaidia. Majibu yako tayakuwa ni yapi? Usikose kutazama MJADALA huu mzuri wa mahusiano kati ya #SiasaZetu na Elimu kupitia link hii

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Kwaheri Mkoa Wa Iringa, Hodi Hodi Pwani, Hongera mkoa wa Iringa kwa ku #FanyaKweli na Sasa ni wakati wa Mkoa wa Pwani na Viunga vyake ku #FanyKweli Mjomba @mrishompoto anakuita wewe mwana Pwani kuungana ku #FanyaKweli kuanzia ngazi ya Kaya na Taasisi zote. #UsibakiNyuma

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐”๐‡๐€๐Š๐ˆ๐Š๐€ ๐–๐€ ๐€๐…๐˜๐€ ๐๐Ž๐‘๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐‹๐€ ๐‘๐ˆ๐Š๐€. #MamaYukoKazini

๐”๐‡๐€๐Š๐ˆ๐Š๐€ ๐–๐€ ๐€๐…๐˜๐€ ๐๐Ž๐‘๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐‹๐€ ๐‘๐ˆ๐Š๐€.

#MamaYukoKazini
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

#ElimikaSpace Tutakuwa na Mental health hub Africa mada "Jamii inapaswa kuzingatia nini ili kupunguza matukio ya kujitoa uhai?" Link x.com/i/spaces/1RDGlโ€ฆ

#ElimikaSpace 

Tutakuwa na <a href="/MentalhealthubA/">Mental health hub Africa</a> mada "Jamii inapaswa kuzingatia nini ili kupunguza matukio ya kujitoa uhai?"

Link x.com/i/spaces/1RDGlโ€ฆ
Happie๐Ÿ’• (@happie_thom) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara ya kwanza leo nimeshika 10M ya pamoja yani sio yangu lakini am on hold of it yani hapa naona kila mtu ninaepishana nae ni mwizi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Bilioni 2.5 zilitumika kulipia fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa barabara ya kidatuโ€“ ifakara. Fedha hizo zimetolewa kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara hiyo na Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya mita 22.5. #TanzaniaYaSamia

Bilioni 2.5 zilitumika kulipia fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa barabara ya kidatuโ€“ ifakara. 

Fedha hizo zimetolewa kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara hiyo na Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya mita 22.5. 
#TanzaniaYaSamia
Sonninoโšก (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Cheza, ushinde na Faidika Friday BUREEE! ๐Ÿฅณ Una nafasi ya kushinda hadi milioni 100 kwa urahisi. Kwenye Goal Rush, unachohitaji kufanya ni kutabiri goli la kwanza kwenye mechi na muda sahihi wa kufunga. ๐Ÿ•’โšฝ Usikose hii fursa! Bofya link bit.ly/SportPesa-BT-X3 na uanze safari

Cheza, ushinde na Faidika Friday BUREEE! ๐Ÿฅณ
Una nafasi ya kushinda hadi milioni 100 kwa urahisi. Kwenye Goal Rush, unachohitaji kufanya ni kutabiri goli la kwanza kwenye mechi na muda sahihi wa kufunga. ๐Ÿ•’โšฝ

Usikose hii fursa! Bofya link bit.ly/SportPesa-BT-X3 na uanze safari
CRDB Bank PLC (@crdbbankplc) 's Twitter Profile Photo

๐—ฉ๐—ถ๐˜๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ถ๐—ถ๐—ถ ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฎ๐—ต ๐Ÿ˜ Huyu mwaka wa tatu anamtishia first year kwamba maisha ya chuo magumu wakati yeye mwenyewe hata shuka hana๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Wanangu wa first year, Gen Z kindakindaki msiogope, njooni tuwafungulie ๐—”๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ