Dr. Hamisi Kigwangalla
@hkigwangalla
#HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.
ID: 52328502
http://www.hamisikigwangalla.org 30-06-2009 06:49:53
29,29K Tweet
1,2M Followers
663 Following
Dr. Hamisi Kigwangalla mawazo yako yataishi milele 🤝
Dr. Hamisi Kigwangalla Elewa kwamba, kama kijana najifunza mengi mazuri kutoka kwako, hususani misimamo halisi, ukweli na uwajibikaji. Asante sana mhe. #HK for minister.
Dr. Hamisi Kigwangalla Hizi sifa Nakuombea ziendelee kudumu kwako doctor
Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini,Dkt. Dr. Hamisi Kigwangalla amesema yamekuwa yakifanyika makosa hasa kwenye Sekta ya ardhi kwa kuamini kuwa wahusika wa Sekta hiyo wanaweza kwenda kila sehemu na kupima ardhi bila ya kufuata taratibu za haki kutoka kwa wananchi wenye asili ya eneo husika
Hivi TOTBonanza ilifia wapi? Ama ni kwamba Salim Alkhasas hanialiki kwa kuogopa dunks zangu? 😀🤔 Pics: earlier today kwenye Bunge Bonanza, nikifanya mavitu yangu! #HK #Fighter #NjeYaBox
Dr. Hamisi Kigwangalla Ahsante sana kiongozi na ushauri uliofanikisha kujengwa kiwancha hichi🙏