Gideon M. Mung'aro, OGW(@GideonMungaroM) 's Twitter Profileg
Gideon M. Mung'aro, OGW

@GideonMungaroM

Official page of Kilifi County Governor, 003

ID:635573323

linkhttps://www.kilifi.go.ke calendar_today14-07-2012 18:38:19

4,2K Tweets

13,4K Followers

184 Following

Follow People
Gideon M. Mung'aro, OGW(@GideonMungaroM) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni sana wakazi Kaloleni kwa kujitokeza kwa wingi na kutoa mapendekezo yenu, hakika tutayafanyia kazi kama serikali ya kaunti; kuanzia ujenzi wa Hospitali ya St Lukes ambao tumeauanza, kufungua masoko, kuwaunganisha na maji safi pamoja na kupanua barabara zaidi, hayo wala

account_circle
Gideon M. Mung'aro, OGW(@GideonMungaroM) 's Twitter Profile Photo

In the heart of Kaloleni, I am deeply immersed in meaningful discussions with my constituents. As the governor of Kilifi County, it is not only my obligation but also my passion to ensure that every resident in Kilifi is content and that my administration diligently follows

Vikosi vyetu vya ulinzi vina jukumu muhimu katika kutulinda. Nilikutana na wanachama wa Chama cha Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi (DEFOCA) wakiongozwa na Brigedi. J. N. Mwamburi, Mkurugenzi Mkuu wa DEFOCA, kujadili jinsi tunavyoweza kushirikiana kwenye miradi endelevu inayoweza

S.ARNOLD(@Sarn_old) 's Twitter Profile Photo

There is this program in Kilifi County Government 'County Mashinani' now on 3rd phase, where the Executive engages with the citizens on ground on a Q&A approach to the programs/developments they have implemented, demanding public officers of accountability & efficient service delivery .

There is this program in @KilifiCountyGov 'County Mashinani' now on 3rd phase, where the Executive engages with the citizens on ground on a Q&A approach to the programs/developments they have implemented, demanding public officers of accountability & efficient service delivery .
account_circle
Gideon M. Mung'aro, OGW(@GideonMungaroM) 's Twitter Profile Photo

Congratulations to our first Cohort of the Power learn Software Development scholarship program.

In today's modern world, digital skills are essential, and thanks to this valuable partnership, we have successfully provided training and resources to over 400 young individuals

Congratulations to our first Cohort of the Power learn Software Development scholarship program. In today's modern world, digital skills are essential, and thanks to this valuable partnership, we have successfully provided training and resources to over 400 young individuals
account_circle
Gideon M. Mung'aro, OGW(@GideonMungaroM) 's Twitter Profile Photo

Malindi imesikika, jinsi mlivyopaza sauti zenu imenidhirihishia wazi kwamba bado tunahitaji kunyorosha baadhi ya idara zetu ili huduma ziwafikie ipasavyo na nawahakikishia kwamba, si Malindi tu, Kilifi hii itanyoroka hasa katika swala la kumhudumia mkazi wa Kilifi.

Mwananchi wa

Malindi imesikika, jinsi mlivyopaza sauti zenu imenidhirihishia wazi kwamba bado tunahitaji kunyorosha baadhi ya idara zetu ili huduma ziwafikie ipasavyo na nawahakikishia kwamba, si Malindi tu, Kilifi hii itanyoroka hasa katika swala la kumhudumia mkazi wa Kilifi. Mwananchi wa
account_circle
Youth Voices & Action Initiative(YVAI)(@Yvai_org) 's Twitter Profile Photo

Collaboration and partnership is key in achieving greater impact in today's interconnected world. At YVAI we acknowledge and are open to partnerships to make sure that we build a society that's more inclusive,innovative resilient and economically vibrant especially to AGYWs

Collaboration and partnership is key in achieving greater impact in today's interconnected world. At YVAI we acknowledge and are open to partnerships to make sure that we build a society that's more inclusive,innovative resilient and economically vibrant especially to AGYWs
account_circle
Gideon M. Mung'aro, OGW(@GideonMungaroM) 's Twitter Profile Photo

Safari hii, lazima sauti ya mkazi wa Kilifi isikike kutoka kule mashinani na sitachoka kuwashirikisha Wananchi kwenye midahalo ya kuzungumzia kuhusu swala la utoaji wa huduma na miradi yote ya serikali ya kaunti.

Ahsanteni sana Magarini kwa kutenga muda na sisi na kujadiliana

Safari hii, lazima sauti ya mkazi wa Kilifi isikike kutoka kule mashinani na sitachoka kuwashirikisha Wananchi kwenye midahalo ya kuzungumzia kuhusu swala la utoaji wa huduma na miradi yote ya serikali ya kaunti. Ahsanteni sana Magarini kwa kutenga muda na sisi na kujadiliana
account_circle