Duka Smart
@dukasmart
Mfumo wa Mauzo na Stock, Endesha Biashara yako Kidigitali, Wasiliana Nasi +255 713 268 534
ID: 1601503124614778880
http://dukasmart.co.tz 10-12-2022 09:04:45
115 Tweet
78 Takipรงi
22 Takip Edilen
Ukiwa Mahali popote na Laptop yako au simu yako unaweza kujua kila kinachoendelea katika biashara yako ukiwa na mfumo wa Duka Smart Bofya Hapa Kujisajili leo: web.dukasmart.co.tz Kwa msaada zaidi: 0713268534 #dukasmart #BiasharaKidigitali
Uongozi wa Duka Smart software unaungana na watanzania wote na wafanyabiashara wa soko kuu la Kariakoo katika kipindi hiki kigumu. Mwenyezi Mungu awatie nguvu na kuwapa subra. #PrayForkariakoo
Hauna pesa ya Kutengeneza Ecommerce kwa ajili ya biashara yako?? Usijali, Sasa ukiwa na mfumo wa Duka Smart utakusaidia kutengeneza e-commerce bure na kupokea oda zako katika simu yako directly. Jisajili hapa sasa: dukasmart.co.tz Wasiliana Nasi: โ๏ธ 0713268534